lfahamu Siri iliyopo Kwenye whats app

New update from jana usiku
Am not sure ni fir all whats app user ama for beta pekee
 
Nimesahau kwenye ile video umesema inachukua mda gani kuwa confirmed user wa whatsap beta?
 
haipo,vzuri mbona sehemu ya contacts kwa tulioupdate hamna,then tutaona vp contacts ambazo mtu unazo na zipo whatsapp? mana kuna camera,chats,call,na status.haijakaa pw,au mi sifahamu ntaona vp contacts wakuu?
 
Yani mkuu hii kitu mimi binafsi imenikera mbaya...akhuu!!bora irudi kama mwanzo aise maana sehemu ya ya status ya kuaambatanisha na picha hakuna kabisa..sijui ni upumbavu gani huyu bwana meck sijui..katuletea
 
haipo,vzuri mbona sehemu ya contacts kwa tulioupdate hamna,then tutaona vp contacts ambazo mtu unazo na zipo whatsapp? mana kuna camera,chats,call,na status.haijakaa pw,au mi sifahamu ntaona vp contacts wakuu?
Pale juu kwenye kibahasha ukiclick ndo utaona contacts
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…