white hat JF-Expert Member Dec 16, 2016 3,321 2,490 Feb 8, 2017 #1 "LEO NIMEVUTA BANGI SIJAONA HATA MABADILIKO YOYOTE" SIJUI MNAISIFIAGA NINI . "anyway I wish you merry christmass and happy new year 2011" . Kumbe bangi haina madhara yoyote bana,nimejaribu tena kupiga pafu tatu usiku huu na Niko vizur tu nimekaa juu ya tv naangalia masofa yangu
"LEO NIMEVUTA BANGI SIJAONA HATA MABADILIKO YOYOTE" SIJUI MNAISIFIAGA NINI . "anyway I wish you merry christmass and happy new year 2011" . Kumbe bangi haina madhara yoyote bana,nimejaribu tena kupiga pafu tatu usiku huu na Niko vizur tu nimekaa juu ya tv naangalia masofa yangu
Alistides Katunzi Senior Member Oct 30, 2016 142 84 Feb 8, 2017 #2 Tayari ishakuingia dk chache utaanza kuandika kichina
Jerrymsigwa JF-Expert Member Jun 23, 2012 14,083 8,374 Feb 8, 2017 #5 CHIKIRA MTABARI said: 2011?! Click to expand... bhangi
Harald Dad JF-Expert Member Dec 4, 2016 353 263 Feb 8, 2017 #7 Makonda anza na huyu kabla hatuja mkosa kabisa
kauzu12 JF-Expert Member Nov 11, 2016 868 783 Feb 8, 2017 #8 white hat said: "LEO NIMEVUTA BANGI SIJAONA HATA MABADILIKO YOYOTE" SIJUI MNAISIFIAGA NINI . "anyway I wish you merry christmass and happy new year 2011" Click to expand... we noma!
white hat said: "LEO NIMEVUTA BANGI SIJAONA HATA MABADILIKO YOYOTE" SIJUI MNAISIFIAGA NINI . "anyway I wish you merry christmass and happy new year 2011" Click to expand... we noma!
Ruqaiyah JF-Expert Member Sep 14, 2015 1,118 1,483 Feb 8, 2017 #9 Ndo ishakuingia....... 2011........usinirudishe shule maana cheti nilikisotea sitaweza rudia
APEFACE JF-Expert Member Oct 1, 2016 5,179 9,048 Feb 8, 2017 #10 Vuta na unga uone......................nini kilichomfanya nyoka akakosa miguu
Okol36 JF-Expert Member Jan 10, 2015 1,524 716 Feb 8, 2017 #12 Alistides Katunzi said: Tayari ishakuingia dk chache utaanza kuandika kichina Click to expand... Imemuingia yote au ???
Alistides Katunzi said: Tayari ishakuingia dk chache utaanza kuandika kichina Click to expand... Imemuingia yote au ???
white hat JF-Expert Member Dec 16, 2016 3,321 2,490 Mar 28, 2017 Thread starter #13 Okol36 said: Imemuingia yote au ??? Click to expand... ohooo!!
white hat JF-Expert Member Dec 16, 2016 3,321 2,490 Mar 30, 2017 Thread starter #14 APEFACE said: Vuta na unga uone......................nini kilichomfanya nyoka akakosa miguu Click to expand...
APEFACE said: Vuta na unga uone......................nini kilichomfanya nyoka akakosa miguu Click to expand...
white hat JF-Expert Member Dec 16, 2016 3,321 2,490 Apr 13, 2017 Thread starter #16 kibumbu said: Umevuta fafa mkuu Click to expand...