Leo natengeneza ndoano ya kimkakati

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
21,319
50,533
Weekend iliyopita nilikuta watoto wanavua samaki baharini karibu na mapango ya mawe Mida ya saa tano maji yalipokuwa yanajaa. Ikanivutia sana nikaomba nitengenezewe ndoano moja nikajaribu na mimi kuvua ila sikubahatika kupata samaki wale madogo walipata pata sasa nimekaa chini nimefikiria kwanini nisiunde ndoano nyingi ndefu hata 10 kisha niziunganishe halafu niwe naenda kuzitega kama wanavyozitega wale wavuvi wa maji malaini ya mitoni.. Asubuhi naenda kuzicheki unaweza ukakutana na bonge moja la kitoewo.. Maisha ni akili hata chalamila yuko sahihi hela inategwa sometimes na bahati hela inahusika hela/mafanikio haitafutwi Kwa pressure sana.Nitaleta mrejesho nikiwa na picha za ndoano.
 
Attachments

  • Screenshot_20240620-152644.png
    4.1 MB · Views: 2
  • DSC_0336.JPG
    7.1 MB · Views: 2
  • DSC_0332.JPG
    3.1 MB · Views: 2
ndege JOHN ni moja ya viumbe wanaoishi maisha mazuri sana hapa duniani. Huwa hapendi kabisa maisha ya kujitesa! Kwake siku zote, maisha ni rahisi tu. Good for you young man. βœ”οΈ
Ila pia hapendi kufuja fuja mali wala kuona mtu akifuja mali.

Huwa yupo sooo calm huwezi kumuona anapanic panic humu, wala kujibu vibaya yupo vizuri Joni.

Hicho chakula chake nimekipenda kwakweli.
 
Ila pia hapendi kufuja fuja mali wala kuona mtu akifuja mali.

Huwa yupo sooo calm huwezi kumuona anapanic panic humu, wala kujibu vibaya yupo vizuri Joni.

Hicho chakula chake nimekipenda kwakweli.
Mkuu mimi ni mfujaji mzuri sana mla Bata mzuri tu kuhusu ile 80k ya lodge nikiri tu ni umaskini wangu unanisumbua roho ya umaskini
 
Mkuu mimi ni mfujaji mzuri sana mla Bata mzuri tu kuhusu ile 80k ya lodge nikiri tu ni umaskini wangu unanisumbua roho ya umaskini
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 ulikuja kugundua baadae kuwa ni roho ya umasikini???
 
Kuna yule mwenzio mzee wa kuchakata mbususu yuko wapi? Sikumbuki ID au ndio wewe?
 
Kuna yule mwenzio mzee wa kuchakata mbususu yuko wapi? Sikumbuki ID au ndio wewe?
Huwa wanakuja na kuondoka usinifananishe nao hata kdg niko tangu na content zangu ziko genuine
 
Ila pia hapendi kufuja fuja mali wala kuona mtu akifuja mali.

Huwa yupo sooo calm huwezi kumuona anapanic panic humu, wala kujibu vibaya yupo vizuri Joni.

Hicho chakula chake nimekipenda kwakweli.
Fanya umtunuku kwa niaba ya JF
 
Samaki wanapita baharini
 
Attachments

  • DSC_0333.JPG
    4 MB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…