Leo naanza kampeni rasmi kumnadi mgombea wetu Lowassa 2020

wakuu baada ya kukaa kimya muda mrefu kuugulia maumivu ya kutotendewa haki mgombea chaguo la wengi sir edward ngoyai lowassa ,usiku wa leo nimekata shauri hivyo nimeamua kuanza rasmi kampeni za kuelekea 2020 kumnadi kipenzi cha wengi almaarufu mzee wa maamuzi magumu. Hii imekuja baada.ya kugundua viatu alivyovalishwa magufuli ni vikubwa mnoo,wavalishaji walisahau kuwa magufuli hakustahili viatu vikubwa hivyo,na hii imeanza kujidhirisha mapema ambapo tayari uwezo wa mungu wazee wa lumumba wameanza kupoteana wenyewe kwa wenyewe kama mungu mungu alivyoamua kuuporomosha utawala wa babeli,kwa upande wangu tangu magufuli alipopitishwa na chama chake sikuwahi kumkubali sababu huyu mtu tulianza kupata habari zake miaka kumi nyuma(rav4 nyekundu).namshukuru mheshimiwa membe almaarufu mbobezi nakuona kama umetumwa na mungu kuja kuuporomosha utawala wa babeli.utawala uliozoea kuoga sharubati na kufanya vibanzi kuwa kitu cha anasa.sasa imetosha.naanza rasmi kampeni za kumnadi mgombea wetu wa ukawa mheshimiwa sir edward ngoyai lowassa
Kila la heri.
Dukuduku langu ni la misingi ya demokrasia.
Lowassa kapitishwa lini kuwa mgombea kabla ya kuchukua fomu au kufanyika mchujo wa ndani?
Na je kufanya kampeni kwa niaba ya mgombea flani kabla ya kutangazwa kwa kipindi rasmi cha kampeni sio kuvunja sheria ya uchaguzi kwa makusudi?
 
Mumekubaliana na Mungu kuhusu Afya ya Lowasa itakuweje kufikia hiyo 2020?
Kwani wewe unajua uko hapa duniani hadi lini? Binadamu hatakiwi kufikiria kifo wakati wa mipango yake ya mbele. Wengi waliosema Lowasa atakufa kabla ya uchanguzi wa October 2015 wameishatangulia mbele ya haki. Maisha ya binadamu yapo mikononi mwa Mwenyezi Mungu tu.
 
Atapitishwa na nani sasa wakati yeye ndo mwenye chama.
 
Back
Top Bottom