Leo jumapili tujikumbushe maandiko yaliyobeba ujumbe mzito.

Ufu 21:8
Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.

Kumbe kuwa muoga tu unafanana na wazinifu pamoja na wachawi.
Afadhali sijaona walevi
 
Hayo maneno mngemuambia yule padri wenu mbakaji ingependeza zaidi
 
Mithali 24:17-18

Usifurahi, adui yako aangukapo; Wala moyo wako usishangilie ajikwaapo; Bwana asije akaliona hilo, likamkasirisha; Akageuzia mbali naye hasira yake.
 
"Uzuri wa mwanamke huuburudisha uso, wala mwanamume hatamani neno lolote kuliko huo"

Yoshua bin sira 36: 22
 
Mithali 10:13

[13]Hekima hupatikana midomoni mwa mwenye ufahamu;
Bali fimbo hufaa kwa mgongo wake asiye na ufahamu.

In the lips of him that hath understanding wisdom is found: but a rod is for the back of him that is void of understanding.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom