bushland
JF-Expert Member
- Mar 6, 2015
- 7,015
- 4,982
Uwiii
Yeuwiii, keleeiiiWe muache. Mjini hapa.
Yeuwiii, keleeiiiWe muache. Mjini hapa.
"...Wapole wa mdomo, wa pili pili moyoni.."Ukitaka kuoa, basi oa mwanamke mjuaji Kama Lara 1.
Wanawake dizaini ya Lara 1 wanaogopeka sana na wanaume kwa kuwa wanaongea sana, ni wajuaji sana, lakini nakuhakikishia kabisa kuwa ukidaka mwanamke dizaini ya Lara 1 ujue umepata mke wa kweli kabisa, hawajui kuchepuka, ni watiifu sana na ni waoga sana kuvunja ndoa zao.
Hebu jaribu kuoa mwanamke mpole asiyejua kuongea ukione cha moto, hao wapole ndo mabingwa wa kuchepuka, ni wakaidi sana, upole wao umeficha mazito ndani yao.
Ningekuwa sijaoa, Lara 1 would have been my choice, zile kelele na maneno mengi ni mkwara tu, ndani ya moyo they are women fit for marriage.
Kwa hiyo Lara 1,ni mke mwema.
Chokozi weweHahahaha kuna thread hapa kuwa usioe mwanamke wa kabila Fulani, je yeye haangukiii kwenye mojawapo ya yale makabila?
Twiga Tuu wa Wanaume...
Lara1 Anatongozeka Vizuri tuu....Kwani yeye hajui kupenda...
Kiukweli Huyu Dada Ni Mke Bora sana sana Tena anaonekana Ni Mjuzi Kitandani....Anakuwa Mkali Na Maneno machafu ili Apunguze Wanaume Wakware apate Cream Nzuri....Strategy yake Ni Nzuri sana...
Na Ukitaka Kumpata Kuwa Mkweli zaidi....Halafu Na Uwe Na Maono (Vision) za Mambo mbalimbali.
Ila Usiwe Mjuaji...akipanda we shuka tuu.
Atakuambia hata mahari hataki OA tuu
Lara1
Siumtongoze tu unazunguka nini?
Una mkwara wa kitoto Sana wewe.
Sikupotezwa enzi nawavua ch*pi wake za watu, eti leo nipotee kusifia mademu za watu? very ridiculous.
Zina hitaji*Sababu zako zona hitaji uchunguzi, kwani lara 1 huwa ana ongea apa jf !!?