Laptop aina ya HP inahitajika

Braibrizy

Member
Apr 6, 2014
29
546
Habari wakuu, title inajieleza,
Spec RAM kuanzia 4Gb
Hdd kuanzia 500Gb
Processor 2.4 Ghz
Battery iwe inakaa na charge

Hata kama ni Used lakini iwe kwenye condition nzuri..!
Hela iko mfuko wa shati, karibuni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…