Braibrizy Member Apr 6, 2014 29 546 Nov 7, 2022 #1 Habari wakuu, title inajieleza, Spec RAM kuanzia 4Gb Hdd kuanzia 500Gb Processor 2.4 Ghz Battery iwe inakaa na charge Hata kama ni Used lakini iwe kwenye condition nzuri..! Hela iko mfuko wa shati, karibuni
Habari wakuu, title inajieleza, Spec RAM kuanzia 4Gb Hdd kuanzia 500Gb Processor 2.4 Ghz Battery iwe inakaa na charge Hata kama ni Used lakini iwe kwenye condition nzuri..! Hela iko mfuko wa shati, karibuni