Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 69,877
- 183,930
Halina shida hilo lipo ndani ya uwezo mama! We settle it like grownfolksUtakubali? !
IIla me mke w a mtu sasa
Halina shida hilo lipo ndani ya uwezo mama! We settle it like grownfolksUtakubali? !
IIla me mke w a mtu sasa
Then u should be my friend darling[/QUOTE]ndo nmeusikia kwako
Hivi unajua kama mm ni myoruba wa Ondo States Abuja???hawa watakuwa wa Igbo tuu sisi hatujafundishwa hivoAhahahahaha
MMumuu ki Nigeria unajua ina maana gan?!
Ahahahahaha
KKweli we apply utaniambiaa
Tuheshimiane bro sisi huwa tunafuata nyumbani. We kama siyo mnyakyusa utakuwa mgogo maana akili zenu mnazijua wenyeweUambiwe tu "tuoane" nawe uingie mzima mzima kisa mmekuwa marafiki kwa miaka kadhaa!!!!?
Huyo mwanaume atakuwa msukuma (kwa kabila)
Sasa na hii unataka kuiendea chato kusemelea!!!?Tuheshimiane bro sisi huwa tunafuata nyumbani. We kama siyo mnyakyusa utakuwa mgogo maana akili zenu mnazijua wenyewe
Itakuwa ingawaje na wazaramo nako wamoAhahaha ha
Au mnyamwezi
Hahaaaaa lazima lifike. Freedom? Not tu zeti eksitentiSasa na hii unataka kuiendea chato kusemelea!!!?
You Are Right MkuuUnajuwa Wanaume huwa kuna wanawake tunajua kabisa huyu anafaa kuoa na kuwekwa ndani ya mjengo na kuna wengine kutokana na wanavyojiweka huwa tunajua tu huyu ni wakujilia papuchi hata atumie hiyo njia uliyo itaja ni kazi bure.
They say, desperate times calls for desperate measures!
Lakini wadada wa kibongo skuhizi buana nawapenda sana, sio kwa kujiamini huku!
kuna rafkiangu ametoka kuni surprise leo, kaniambia kuwa alikuwa na bwana wake, for 3yrs hakuona kabisa dalili ya jamaa kumuoa
Siku moja akaamua kumtoa out bwanake, wakiwa wanakula, wanafurahi, wanapata dessert, my friend akamwambia bwana, unaonaje tukioana?
Jamaa yake anatoa macho, abamwuliza kweli?
My friend: Yes, why not, hatuna cha kupoteza u know na tumefahamiana vya kutosha
Jamaa: ok no problemo!
Wakamalizia show kwa room, hakukuwa na pete ya kuvishwa wala nini, na harusi yao ni jumamosi ijayo
You see ladies, this is the new improved way of how to get away with marriage, ukisuburi fairy tale, Romeo and Julieth Bado hawajaamka usingizini ivooo?! Usije subiri miaka 2000 kurudi kwa Yesu.
Desperate times calls for desperate measures!
Ndo ivo akina dada mjitoe ufahamu sio kunataa
Heshima jamaaUambiwe tu "tuoane" nawe uingie mzima mzima kisa mmekuwa marafiki kwa miaka kadhaa!!!!?
Huyo mwanaume atakuwa msukuma (kwa kabila)
Usim CC jamaa wa chato basi na wewe!!!!Heshima jamaa
Ujue wasukuma hatuingii kichwa kichwa
Kitu kidogo hivi hata sisimiz mkubwa kinifanye nipanikiUsim CC jamaa wa chato basi na wewe!!!!
Huna haja ya kupaniki mwanamayu.
Ghafla kolomije ndani!Kitu kidogo hivi hata sisimiz mkubwa kinifanye nipaniki
Hehehehe ndo nakuambia ss sio watu wa kuingia kichwa kichwa unamuona magufuli anavofanya
Humuoni change wanavomtaja bado wakija kumtoa inakua ngumu
Humuoni makonda wanavosumbuka
Sisi jamaa acha kabisa tunacheki vzr kujafikia kuingia jua ni paratable
Ahahaha ha
Teeena usinikumbushe akina yoruba nilisomaga nao UK
Cha
Nia demands Hatari
Embu siliza hii video ahahaha