Mkuu nashukuruAnzisha kampuni yako ya ujenzi ama ya design uone cha moto usisubiri watu wahangaike kutafuta projects halafu udandie kwa mbele.. come on!
Umechoka?
HapanaUmechoka?
HapanaUmechoka?
ThanksAll the best Mkuu....
Labda ....Labda utapata !
mm ni Civil Technician je naweza nikakuchek mkuu?Salaam Wadau,
Kwa wakandarasi wa wa Ujenzi daraja la kwanza hadi la saba ambao hawana wataalamu/utaalamu, napenda kuitambulisha kampuni yetu kuwa tuna wataalaamu wanaoweza kusimamia miradi ya ujenzi kama Site Engineers, Civil Technicians na Quantity Surveyors.
Wahandisi waliosajiliwa na board yaUhandisi (ERB) na Quantityrs Surveyors waliosajiliwa.
Tunatoa huduma zifuatazo kwa maelewano ya gharama nafuu.
1. Site Management/ Site Manager/Site Engineer
2. Site Foreman/ CivilTechnicians
3. Skilled Labour/Masons, Steel fixers, Carpenters, Plumbers,Electricians etc
4. Structural Engineer/ Structural Design ( Incase of Design and Build Projects)
5. Quantity Surveyors/ Kuandaa madai(claim) ya mkandarasi kwa ajili ya malipo
6. Kuandaa working schedule kutumia MS Project
7. Kusimamia technical issues zinazojitokeza site
8. Kuandaa schedule of material
Tuwasiliane inbox kwa mawasiliano zaidi.
Eng.
Asante
Mi ni architect VP nikutafute?Salaam Wadau,

Come inbox pleasemm ni Civil Technician je naweza nikakuchek mkuu?
Your e mail inbox pleaseMi ni architect VP nikutafute?
Tayari mkuuYour e mail inbox please