Laana za akina Ben Saanane na Roma Mkatoliki sasa zinajidhihiri mubashara

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,214
Kweli sasa nimeamini kuwa hata umfanyie nini Binadamu mwenzio ambaye pengine wakati wa mateso hayo unayompa wala hakuwa na jambo lolote lile baya ila Wewe tu kwa chuki zako au kwa maelekezo ' maalum ' uliyopewa ama hakika ipo siku tu yale ' machungu ' na ' maumivu ' yake Mwenyezi Mungu atayabadilisha kuwa ' laana ' kubwa sana ama Kwako binafsi au kule ambako hao Watu wabaya wametokea.

Na siku zote ' laana ' za walioteswa, kupigwa, kunyanyaswa na hata kuuliwa Mwenyezi Mungu huzisikiliza haraka na kutoa majibu ya upesi mno ambayo huwa na athari au madhara makubwa tena pengine hata kushinda yale ambayo ' wahanga ' au ' wahusika ' walifanyiwa.

Binadamu tukumbuke tu kuwa hapa duniani tujikite sana katika kuheshimiana, kupendana na kusaidiana pale tunapokuwa na matatizo na hata siku moja usije kudhani kuwa utamfanyia fulani jambo baya la kumuumiza au kumuangamiza kabisa halafu Mwenyezi Mungu asimjibie mapigo.

Ben Saanane sijui ulipo kwa sasa ila kama umeshatangulia mbele ya haki basi jua ya kwamba yale ' maumivu ' yako uliyoyapata hadi ukafika huko ' ahera ' ulipo sasa majibu yake tunayaona na ambayo Roma Mkatoliki nae ameyazidisha hasa kutokana na aliyotendewa yeye na wenzake.

Mnaojijua kabisa kuwa mlishiriki katika kuwafanyia ' Ukatili ' hawa Watanzania wenzetu nadhani huu ni wakati wenu muafaka kabisa wa kumpigia Mwenyezi Mungu magoti, kukiri makosa na kumuomba msamaha kwani yawezekana haya tunayaoyashuhudia sasa ikawa ni ' laana ' kali za waliofanyiwa huo ' Ukatili ' hivyo Maulana ameamua kuwajibia.

Ama hakika ' malipo siku zote ni hapa hapa duniani '.
 
Hivi Stakishari ilikuwa mwaka gani?

Ungetuliza vizuri kabisa ' ubongo ' wako huo na kuelewa kiumakini kabisa ' content ' nzima ya uzi wangu nina uhakika kamwe usingekuja na huu ' upupu ' wako uliotukuka.
 

Kwa hiyo umemaanisha kwamba waliwaua Askari wetu jana wana machungu ya kina roma na wenzake wanaoshinda wakiitukana serikali au?

Sasa tunaanza kupata picha ya wachangiaji wengi humu ni watu wa aina gani?

Muda utafika mtaeleweka na walioko nyuma zenu pia wataeleweka!
Hiii thread ni ya kiajabu sijawahi kuiona lazima kuna jambo hapa na sio kisimgizio cha demokrasia
 
Asa Mungu si angezuiaa yasitokee haya yote

Sasa Mungu angeyazuia haya yote leo hii sisi Wanadamu tungejua ' thamani ' ya ' dhambi ' na hata kutambua kuwa yupo yeye awezaye kusamehe kila aina ya dhambi au baya la Binadamu? Mkuu labda nikuulize tu hivi unadhani hapa duniani Mwenyezi Mungu huyu huyu anashindwa kumpa ' hitaji ' lake kila Mwanadamu? Lakini je umeshajiuliza ni kwanini pengine wengine anawapa leo, wengine kesho na hata wengine anawanyima kwa muda mrefu? Economically unadhani bila Wanadamu kuwa na shida leo hii ubunifu huu na maendeleo haya tunayoyaona duniani tungeyaona? Shida humpa Mtu akili na shida hizo hizo humfanya Mwanadamu aweze kumtafuta Mwenyezi Mungu ili afuate njia zake na aweze kuyatenda yale ambayo Mungu anataka yawepo hapa duniani.

Kila la kheri na Pasaka njema pia Mkuu.
 

Sikujua kama kumbe JF bado ina ' mazalia ' ya Watu ' Wapumbavu ' kama Wewe. Labda kabla tu sijaenda mbali nawe kwani huwa nawapenda mno Watu wenye ' viherehere ' ili niwapeni ' dozi ' zenu murua kabisa naomba unionyeshe haraka na upesi sana hapo katika Content nzima ya uzi wangu ni wapi nimesema kuwa ' Askari ' waliouliwa jana au hawa waliopata leo ' Ajali ' wametokana na ' laana ' za akia Ben Saanane na Roma Mkatoliki?

Nasubiri unijibu hili ILI nami niweze sasa kukushushia kitu ambacho ni juzi tu hapa Marekani walikishusha huko Syria ili ' tuheshimiane ' vizuri humu JF.
 
Tatizo la kuwa na funza kichwani badala ya ubongo linadhihirishwa na thread hii

Na bahati nzuri sana bora Mimi hao ' Funza ' wako katika Ubongo wangu ila kwa ' aliyekuzaa ' wamejazana mno pale ambapo ' Mbichwa ' wako huo Mkubwa kama Tairi za Magari ya Migodini uliweza kupita hadi kuja duniani hivi.
 

Km vp poa tu... Kwani we mtetezi wa nani? Usitubabaishe... Kila mtu ana haki ya kutoa maoni Yake!
 

Ndio maana nimekwambia fumbo wafumbie wajinga na sio kila mtu humu ni msoma thread na kupita bila kuichambua maudhui yake iweke wazi hiyo shukurani unayomshikuru mungu wakati taifa limegubikwa na majonzi ya vifo vya Askari wetu.
Tena unaonekana wewe ni team laptop 2020 mnajulikana tu bila kuuliza mara mbili kwani mmejaa matusi hadi kwenye vidole na ndio maana unaandika mambo ya ajabu ajabu tu ilmradi mkono uende kinywani

Shame on people like you and God bless our country tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…