Ndiyo tena wa 4Una kaka aliyeowa?
Ndiyo tena wa 4Una kaka aliyeowa?
Mungu awatabarikime nashkuru jamaan ninavyopendana na wifi zangu naombea kistokee chochote kati kati tuendelee hivi hivi
Wa napita kimya kimya...Mawifi kujeni huku mpate ujumbe wenu
Na wewe umeolewa?Ndiyo tena wa 4
Acha tyTeh kumekucha vizuri
Amka saa kumu yandae chainupike uwachemshie maji ya kuoga...uchote majiWifi deal na ndoa yako yangu haikuhusu, ma mkwe nampenda sana tu make bila yeye nisingepata mume.....
Kuishi kwa kuigiza siwezi wifi kwa hilo nisamehe bure kwangu naamka saa mbili kwanini nije ukweni niigize kuamka sa kumi alfajiri, nipigwe baridi weee mwisho nipate ngiri hapana asee!
Mawifi wamecharuka leoMawifi kujeni huku mpate ujumbe wenu
Chaaaaaa nichote maji tena???Amka saa kumu yandae chainupike uwachemshie maji ya kuoga...uchote maji
Dada wa Mme na wake za kaka piaHongera, ni wake za kaka au dada wa mme?
Shida ya wanawake bana anaweza kukuchekea, kukuhug kila akikuona ukahisi maupendo kumbe behind the scene anajua mwenyewe, ila hongera teh
NdiyoNa wewe umeolewa?
AnachoChaaaaaa nichote maji tena???
Wifi si ukachote mwenyewe, we huna kichwa???
Mungu awatabariki
Ninao best tena sita sio kidogo ila huwa sina mazoea na familia zao maana nina mambo yangu mengi sana ya kufanya, mpaka huwa wananimis. Isitoshe ukifatilia ya watu utachelewa kufanya yako,na usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzako. Alafu huwa sitaki kujua hata tabia zao maana haitonisaidia chochote kwasababu ndio tayari ni wake za kakazangu na kila mtu yupo kwenye familia yake kwanini tusumbuane?Wa napita kimya kimya...
Vipi huna kaka best
Kweli kabisaNinao best tena sita sio kidogo ila huwa sina mazoea na familia zao maana nina mambo yangu mengi sana ya kufanya, mpaka huwa wananimis. Isitoshe ukifatilia ya watu utachelewa kufanya yako,na usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzako. Alafu huwa sitaki kujua hata tabia zao maana haitonisaidia chochote kwasababu ndio tayari ni wake za kakazangu na kila mtu yupo kwenye familia yake kwanini tusumbuane?
Mi ni mke wa kaka bana sio mke wa familiaAnacho
Ila wewe mke wao ukafanye
Na ukianza mazoea ndo tabu huanzia hapooo....Ninao best tena sita sio kidogo ila huwa sina mazoea na familia zao maana nina mambo yangu mengi sana ya kufanya, mpaka huwa wananimis. Isitoshe ukifatilia ya watu utachelewa kufanya yako,na usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzako. Alafu huwa sitaki kujua hata tabia zao maana haitonisaidia chochote kwasababu ndio tayari ni wake za kakazangu na kila mtu yupo kwenye familia yake kwanini tusumbuane?
Ndiyo maana uko hivyo ulivyooo...shwainiMawifi wengi ( ndugu upande wa wanaume) wanaboa.
Unakuta wifi anataka anyenyekewe kama vile yeye ndiyo Mume.
Pia kumridhisha binadamu ni kazi sana maana mazuri 1000 hufutwa na baya moja.
Nyie hamjui kaka yenu akishaoa majukumu yanaongezeka? Mnataka mchote tuu hela tusiwe na maendeleo ? Mwishowe mseme mwanamke nuksi?
Binafsi mawifi huwa nawachukulia watu wa kawaida sana.
Nineitoa mahali....
Kwa group husika mtanisamehe tu kaujumbe kamenigusa
Kama ilishaletwa humu pia mnisamehe bure
Kwenu mawifi wake za kaka zetu....
Salaam nyingi ziwafikie hapo mlipo ni matumaini yetu mu wazima sisi pia wazima hofu kwenu mlio mbali nasi..
Dhumuni ya hii barua nikuwaambia kuwa sisi tunawapenda wala hatuna vinyongo nanyi kuna matatizo mnayaleta wenyewe kwa sababu ya kuingia ktk ndoa kwa kujihami kutokana na historia fulani. ..
wifi zetu mbona mnakuwa hivyo kwa nini hamtaki kaka zetu watusaidie??mbona kwenu wanasaidia..je hamjui kuwa waume zenu wana ndugu pia wanaoweza hitaji msaada? ?wifi zetu kwa nini mnatudharau tukija majumbani mwenu??wengine mnathubutu hadi kuwaambia wadada wa kazi tusiwatume hata kununua vocha magengeni??
wifi zetu mnawafanya nini kaka zetu mbona mnakuwa wakali hadi wanaogopa kukaa na sisi tukija kutembea..wifi zetu kwa nini hamuwapendi mama zetu??mbona mnasahau kuwa ndio waliowazalia waume zenu..mbona mnasahau kuwa hizo kazi za waume zenu bila wazazi wasingepata mbona mnasahau jinsi mlivyowahi simuliwa kuwa mama zetu wengine walipika hadi gongo ili wasomeshe waume zenu..
kwa nini mnawatenga hawa kina mama hata kitenge hamuwapi..mbona kwenu mnapeleka?
Wifi zetu mbona mkija likizo kusalimia mnakuja nakucha ndefu ka kwale mbona mnalala ukweni hadi saa 4 kwa nini mnafanya hivyo??wifi zetu kama hamuwezi kutumia kuni kwa nini.msiwe mnawashauri kina kaka wawe wanakuja na gesi kijijini kama mulizowanunulia kwenu??wifi zetu kwa nini mmekuwa wanyimi..tukiwatembelea sie mnaona ni mzigo mbona mmejaza hadi binamu zenu kwenye nyumba za kaka zetu.
.wifi zetu ni mengi ya kuongea lkn karatasi linaishia hapa tunaomba sana mtuthamini na muwathamini wazazi wa waume zenu..wengine kutwa mnashinda vijijini kwenu na kaka zetu lkn kwetu hamji..wifi zetu badilikeni mkipata familia nzuri msitake kujionyesha usupa star hakuna mwenye kutaka kuingilia ndoa za kaka zetu tatizo mnaingia kwenye ndoa kwa kujihami ndio maana hamuoni uzuri wa ndugu wa kiumeni badilikeni.
Mwisho wasalimie watoto ingawa hamtaki waje vijijini eti hakuna video lkn milimani kwenu tumesikia wanaenda hongera kwa kufanikisha zoezi la kumwambia kaka ajenge kwenu na kusomesha ndugu zenu..nakutunyima ada sisi wa kiumeni....
Ni sisi watiifu
Mawifi kiumeni
Mimi wifi asinitanie kwakweli ataita maji mma, kila nyumba inataratibu zake, kwa wakwe zangu wanataratibu zao na nyumbani kwetu wana taratibu zao hivyo hivyo na nyumbani kwangu na mume wangu tutakuwa na taratibu zetu, heshima itafuata mkondo wake, kwa atakayeona sifai kuwa mke wa kakaake aje anisaidie.Mawifi wamecharuka leo
Wewe una akili,kama mme wangu kabisa.Huwa wanasema ila yeye yanaingilia huku na kutokea kule.Big up brother.Halafu unaachaje kutafuta maisha yako,ukitegemea mtu mmoja awatoe umasikini au akusaidie na weww umekaa tu,anaetafuta anangalia watoto wake na uzee wake.
Hatulogwi ila tunaangalia utaokuwa uzee wetu.
Jukumu lipo kwa wazazi wasiojipanga tu,kwakuwa hawana nguvu.
Akina dada na wao wakachague wanaume wanaowafaa,siyo mizoga halafu shida tupate kina KAKA.