Kwanini watu wa Dar huwa hawataki kujua yanayoendelea mikoani?

jumaa2

Member
Aug 14, 2021
37
90
Kwanini watu wa Dar, huwa hawataki kujua yanayoendelea mikoani?

Lakini wa mikoani kila wakati wanafatilia ya Dar tu.

Maadimin wa JF Wapo Dar,
ITV, Wasafi, TBC n.k zipo Dar

Melo yupo Dar,

Vyuo vikuu Bora vipo Dar

Flying over za maana zipo Dar

Uswahilini kupo Dar

Pesa ipo Dar, umaskini upo Dar
 
Mbona hata sisi wa mikoani hatuna habari na Dar.
 
Kwanini watu wa Dar, huwa hawataki kujua yanayoendelea mikoani?

Lakini wa mikoani kila wakati wanafatilia ya Dar tu.

Maadimin wa JF Wapo Dar,
ITV, Wasafi, TBC n.k zipo Dar

Melo yupo Dar,

Vyuo vikuu Bora vipo Dar

Flying over za maana zipo Dar

Uswahilini kupo Dar

Pesa ipo Dar, umaskini upo Dar
ni ushamba tu. wengi wa wanaoishabikia Dar utakuta ni wapangaji hata hawajajenga huko na hawana uhakika kama wataishi huko maisha yao yote. wapo tu pale kushabikia mafanikio ya wenzao. hawajui hapo Dar wengine tumeishi miaka ya kutosha tumejenga ila tumekuja kukusanya pesa mikoani na hata hatujihesabu kwamba ni wa Dar.
 
Na sisi ambao hatujawahi kufika Dar, tunashauku ya kufika huko. Tunaaminishwa ni kama 'Paradise' vile, ingawa nasikia kuna joto kali sana.
 
Back
Top Bottom