Kidume cha mbegu
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 1,251
- 709
Hapo ndiyo huwa siwaelewi kabisaWakati unatafuta jibu la swali lako, vilevile jiulize kwanini wengi wao hawana ndevu?
Umemwambia kweli"Kwanini wamasai hawazungumzi Base" hii ni conclusion iliyokosa weledi. Dar ninaishi na mmasai anaongea Base. Badilisha swali kwanini baadhi ya wamaasai hawazungumzi kwa Base.
Sio base, ni bass, na vile vile msamiati huu haufai kuapply kwenye hii concept"Kwanini wamasai hawazungumzi Base" hii ni conclusion iliyokosa weledi. Dar ninaishi na mmasai anaongea Base. Badilisha swali kwanini baadhi ya wamaasai hawazungumzi kwa Base.
Sijakuelewaa ndiyo niniMtoa mada innararoo bong'otonye..