my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,017
- 2,390
mfano baba mondi ama niniSio tu watoto wa kike, wababa wengi wa kibongo wapo careless kwa watoto wao haijalishi jinsia
Tena huyo anaweza kwa kiranja wao ha ha ha hamfano baba mondi ama nini
Umenikumbusha jirani yangu baba Irene huyu baba kwakweli wanae wampende tu... Ana watoto wa nne wote wakike, wapili, tatu na nne wamelingana kama mapacha basi asubuhi baba yao anawapikia uji, anawaweka kwenye pots anawasafisha, anafua nguo zao, anawapa uji ndo anaenda kazini hiyo ni kila siku ya calender, mke yupo ila watoto wake anawahudumia sana nlikua namkubali sana jiraniMimi Niko carefull kila jmos lazima mwanangu anet nimfundishe hesabu
Sio limbwata hiyo !! Hebu tofautishAUmenikumbusha jirani yangu baba Irene huyu baba kwakweli wanae wampende tu... Ana watoto wa nne wote wakike, wapili, tatu na nne wamelingana kama mapacha basi asubuhi baba yao anawapikia uji, anawaweka kwenye pots anawasafisha, anafua nguo zao, anawapa uji ndo anaenda kazini hiyo ni kila siku ya calender, mke yupo ila watoto wake anawahudumia sana nlikua namkubali sana jirani
Mawazo ya hivi pia ni sababu ya kina baba kushindwa kujali watoto wao pole sanaSio limbwata hiyo !! Hebu tofautishA
Tunaogopa kusaidia kwa %100 ili jamii isitwambie hivo.kama wewe usivoweza kupiga denda adharani ukiogopa jamii itasema nini juu yakoMawazo ya hivi pia ni sababu ya kina baba kushindwa kujali watoto wao pole sana
Hata huku kuishi ukiangalia jamii inasema nini ni sababu pia ya wababa kushindwana kujali watoto waoTunaogopa kusaidia kwa %100 ili jamii isitwambie hivo.kama wewe usivoweza kupiga denda adharani ukiogopa jamii itasema nini juu yako
Sio tu watoto wa kike, wababa wengi wa kibongo wapo careless kwa watoto wao haijalishi jinsia
Umenikumbusha jirani yangu baba Irene huyu baba kwakweli wanae wampende tu... Ana watoto wa nne wote wakike, wapili, tatu na nne wamelingana kama mapacha basi asubuhi baba yao anawapikia uji, anawaweka kwenye pots anawasafisha, anafua nguo zao, anawapa uji ndo anaenda kazini hiyo ni kila siku ya calender, mke yupo ila watoto wake anawahudumia sana nlikua namkubali sana jirani
Hapo utakuta baba anaagiza utampa hizi hela kumbe uwepo wake ni muhimu kuliko hela, wababa wa kibongo eeh ni shidaNakuunga mkono kwa 100%! Hili nimelishuhidia mara nyingi sana, kwa mfano ukienda kutembelea mtoto aliyeko shule ya boarding labdatusema ni siku ya wazazi, hapo kuona baba wa mtoto ni nadra sana, asilimia zaidi ya 85% ni Wamama tu na hapo, ujue mtoto ameondoka nyumbani kwa miezi zaidi ya mitatu lkn bado siku ya kwenda kumtembelea bado baba haendi, sasa huwa najiuliza hivi kweli haumkumbuki mtoto wako? Miezi 3 hujamuona na bado siku wa Wazazi hauendi?