Kwanini vyombo vya habari vimepuuza taarifa za Bunge?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
1,038
4,752
Bunge linaendelea Dodoma lakini vyombo vya habari vimeziba masikio kuhusu kinachoendelea.

Sometimes hata zile sekunde za taarifa ya habari hazigusi yanayojiri bungeni.

Je, bunge limeshuka thamani kiasi hiki? Kama mijadala ya bunge imefifia kiasi hiki na wabunge wamekimbia majimbo, nani anawasemea wananchi?

Yapo wapi yale tuliyoaminishwa yanakwamishwa na upinzani? Kwamba wabunge wamemaliza kero zote za wananchi? Kwamba wabunge wamekosa hoja kabisa za kusugua serikali?
 
BUNGE LA KIANITHI
 
Bunge la matumbo yao, nani anataka kupoteza muda kuwasikiliza wakati wanaongea blabla ili muda uende.
 
Back
Top Bottom