Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,276
- 70,677
View attachment 340957
Eminem kawa babu mmh unga noma
nakumbali Eminem jamani ndio kawa hivii,Ana miaka ngapi sasa?
View attachment 340957
Eminem kawa babu mmh unga noma
Mkuu, ndio maana mimi siharibiki. Nakula unga kwa kipimo maalum, siongesi hata kidogo.Ongeza dose mkuu
Ni addiction ya nini hiyo inayofanana na unga?
Labda sitini anakula penshen ha ha hanakumbali Eminem jamani ndio kawa hivii,Ana miaka ngapi sasa?
Jibu lako la kistaarabu ndilo linauliza hili swami: mkuu hebu niambie hasa nini sababu ya kutumia cocaine na madawa mengine!? Je yana faida au ni hasara tu? Mimi nimekuwa sipati jibu sahihi kabisa hapa kama vile nisivyotumia pombe nikiamini nikinywa pombe taharibikiwa maisha huku hadi leo hata maisha niliyonayo niyakawaida tu. Mkuu hebu nisaidie kunipa maelezo na samahani sana kwa posti yangu ya mwanzo. Nimemuona Rayc na sasa Chid hadi nikasikitika je walikosea katika matumizi?Mkuu, ndio maana mimi siharibiki. Nakula unga kwa kipimo maalum, siongesi hata kidogo.
ni Discipline tu ndio siri ya kila kitu
Ni addiction ya nini hiyo inayofanana na unga?
Alikuwa addicted na mihadharati ipi?
Ww ambaye hata ukinywa club soda unalewa?Mbona mimi natumia lakini sijaharibika?
Mmmmhhh hivi hata washauri wa nguo za kuvaa wamemtosa!?Pengine hauwafahamu wasanii wa nje hivyo hupati habari za athari wanazopata. Kwa uchache Breda Fassie kateseka sana na unga hatimaye kifo. Whitney Houston kasemwa sana swala la unga hatimaye kifo. Kama unawakumbuka marapa watoto kris kros mmoja wapo hatunae leo chanzo unga. Amy Winehouse kateseka na madawa hatimaye kifo. Natalie Cole na wengine wengi.
Na huyo hapo juu ndio Dxm. Unga mchezo!?
Mkuu cocaine na madawa mengine kama heroine ni kiburudisho tosha,Jibu lako la kistaarabu ndilo linauliza hili swami: mkuu hebu niambie hasa nini sababu ya kutumia cocaine na madawa mengine!? Je yana faida au ni hasara tu? Mimi nimekuwa sipati jibu sahihi kabisa hapa kama vile nisivyotumia pombe nikiamini nikinywa pombe taharibikiwa maisha huku hadi leo hata maisha niliyonayo niyakawaida tu. Mkuu hebu nisaidie kunipa maelezo na samahani sana kwa posti yangu ya mwanzo. Nimemuona Rayc na sasa Chid hadi nikasikitika je walikosea katika matumizi?
Pengine hauwafahamu wasanii wa nje hivyo hupati habari za athari wanazopata. Kwa uchache Breda Fassie kateseka sana na unga hatimaye kifo. Whitney Houston kasemwa sana swala la unga hatimaye kifo. Kama unawakumbuka marapa watoto kris kros mmoja wapo hatunae leo chanzo unga. Amy Winehouse kateseka na madawa hatimaye kifo. Natalie Cole na wengine wengi.
Na huyo hapo juu ndio Dxm. Unga mchezo!?
Mkuu situmii hizo mambo. ni kwa ajili ya watoto na warembo.Ww ambaye hata ukinywa club soda unalewa?
Mkuu nimesoma post zikisema kuwa ukitaka kuacha utakuwa unasikia maumivu makali sana ya mwili je sababu ni nini hasa? Na je kama lengo ni kutoa stress mbona naona wanaotumia pombe huwa stress zinatoka!! Nimekaa Zanzibar miaka ya kadhaa nilikuwa nawaona Forodhani wengine wakitoka udenda mdomoni ila utawatambua kuwa ni watumiaji kwa sauti na kiswahili chao (wanaongea taaaaratibu tena kwa upole). Sasa ndugu wewe unafikiri kuna siku utaacha? Unaonaje basi ambao wameshindwa kufuata dose kama wewe ukawasaidia kimawazo? Mwisho Unaonaje kumsaidia raisi kuwafichua wauza madawa ya kulevya wakubwa waliopo hapa nchini japo mungu akakukumbuka siku ukitoka duniani. NB: Zanzibar nilitaka kufanywa punda na kuna uzi niliuleta hapa na nikakataa (punda wa kwenda india na jamaa mmoja hivi mhindi) lkn huwa nikikumbuka moyo unafarijika kwani aidha ningekuwa mtumiaji na aidha ningekuwa nimefungwa ama kufa. Mkuu usichoke tunashauriana tu na nikikukwaza nisamehe.Mkuu cocaine na madawa mengine kama heroine ni kiburudisho tosha,
ni kama uhai kwenye mwili wa binadamu,
tena huleta furaha na amani miongoni mwa watumiaji,
tena ukitumia kwa makini, siku moja utakuja uliza:
Maisha yafaa nini pasipo mihadarati?
Hata hivyo tumia kwa kiasi na kwa wakati maalum.
Hao ndugu zangu akina ray C na Chid walikosea dozi, hawakujua namna ya kutumia
Hahahaaaaaa. Ungekubali tu kuwa punda, sasa hivi ungekuwa vizuri zaidi.Mkuu nimesoma post zikisema kuwa ukitaka kuacha utakuwa unasikia maumivu makali sana ya mwili je sababu ni nini hasa? Na je kama lengo ni kutoa stress mbona naona wanaotumia pombe huwa stress zinatoka!! Nimekaa Zanzibar miaka ya kadhaa nilikuwa nawaona Forodhani wengine wakitoka udenda mdomoni ila utawatambua kuwa ni watumiaji kwa sauti na kiswahili chao (wanaongea taaaaratibu tena kwa upole). Sasa ndugu wewe unafikiri kuna siku utaacha? Unaonaje basi ambao wameshindwa kufuata dose kama wewe ukawasaidia kimawazo? Mwisho Unaonaje kumsaidia raisi kuwafichua wauza madawa ya kulevya wakubwa waliopo hapa nchini japo mungu akakukumbuka siku ukitoka duniani. NB: Zanzibar nilitaka kufanywa punda na kuna uzi niliuleta hapa na nikakataa (punda wa kwenda india na jamaa mmoja hivi mhindi) lkn huwa nikikumbuka moyo unafarijika kwani aidha ningekuwa mtumiaji na aidha ningekuwa nimefungwa ama kufa. Mkuu usichoke tunashauriana tu na nikikukwaza nisamehe.
WANAATHIRIKA SANA TU HATA KAMA SIO KIMWILI ILA AKILI ZINAKUWA MBAYAAAWanajitahidi kula vizuri..Pia wanapiga ngada yenye viwango..Sio hizi takataka wanazokula hawa wabongo
Nashkuru kaka ila mimi nakuombea kwa mungu uuache. Lakini jambo ambalo serikali ya Tanzania inapoteza muda katika vita ya madawa ya kulevya ni pale inapohangaikia wauza madawa ya kulevya wa Tanzania bara wakati ma drug lords wakubwa wako Zanzibar tena wakitumia hotel za kitalii zilizoko ufukweni mbali na mji kufanya hizo biashara. Siku nikipata mawasiliano ya moja kwa moja na Magufuli ipo siku tamwambia na kama ungekuwa Zanzibar ningekupa details flani ufuatilie na ungekuja na mshangao hapa.Hahahaaaaaa. Ungekubali tu kuwa punda, sasa hivi ungekuwa vizuri zaidi.
Masharti ya mihadarati ukiifuata vizuri ni rahisi sana kuacha kama ukitaka.
Baadhi ya masharti rahisi sana ni kutumia mihadarati kwa wakati maalum na kwa kiwango maalum ili kuepuka kujiover dose, ni kama dose ya hospitali tu. Pia unatakiwa kula mlo kamili na uwe mnywaji mzuri sana wa maji (mara kwa mara). kamwe usitumie Mihadarati pamoja na pombe. Vijana wengi ndo hupotea hapa, mihadarati na pombe ni kama moto na petroli, chagua moja, pombe au mihadarati.
Kuhusu kufichua wauza madawa naweza, lakini ninaowafahamu ni vidagaa tu, mapapa hata siwafahamu.
Karibu chamani mkuu
Mkuu mbona 50 kuna video yake YouTube akiwa show south america paparazzi hakupiga hodi akamkuta ana peng'a lakini ushawai kusikia 50 ni teja na niwakumbushe wote wasanii wengi wa hiphop marekani wengi wameuza madawa hood na hivyo wamejaribu kuyatumia,,,Hii kasumba ya kusema "eti ukitumia unga halafu unakula msosi mzuri utakua hauna madhara kwako kama yule anayetumia halafu anapata lishe duni" hii kasumba ikiachwa iendelee hivi hivi itamaliza watu kwa kweli...
Hao wasanii wa mbele ambao wanatumia cocaine halafu wapo kawaida ni nani kwa mfano wa uhakika labda... sio umeona katika video yake anaonekana ni drug dealer ukasema ni mtumiaji wa 'unga'
Whitney Huston
Amy Winehouse
Boby Brown n.k
Cocaine sio nzuri kabisa ata uwe unakula mlo mzuri kiasi gani itakumaliza tu.... na hakuna 'Cocaine safi' au 'Cocaine chafu' zote ni Cocaine zinafanya kazi katika mfumo mmoja ule ule na madhara yake ni yale yale....
NB: Matumizi ya Bangi/Marijuana ni tofauti na matumizi ya Unga/Cocaine.... Japo ukianza na bangi basi jua ndo unaelekea katika matumizi ya Unga....