Kwanini movie nyingi za mazombie Hollywood wanaigizia Las Vegas..!?

Call me GHOST

Member
Jan 18, 2019
53
96
Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa movie za horror specifically zombie movies basi utagundua movie nyingi za zombies Hollywood wanaigizia Las vegas Kuna siri gani iliyo jificha nyuma ya jiji la Vegas na uwepo wa mazombie

Baadhi ya movies ambazo setting yake ni Las Vegas

Army of the dead (2021)
Resident Evil: Extinction (2007)
The Haunted Casino (2007)
Leprechaun 3 'Kenyonyo' (1995)
Vampire in vegas (2009)
Hostel III (2011)
Fright Night (2011)
Seed 2 (2014)
It stains the sands Red (2016)
Vegas vampires (2007)
 
kwasababu huko ndiko kwenye mikataba mingi ya freemason
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom