SALUM S HEMED
JF-Expert Member
- Mar 4, 2016
- 1,437
- 1,861
Ni wivu tu huo unakuwa anakupenda sana huyoWadau nawasalimu,
Hivi karibuni nilikuja kugundua sina nguo kabisa, inafika asubuhi au wakati wa kutoka natafuta nguo kila nayoshika mkononi either inanibana au imechanika kabisa hivyo najikuta narudia nguo za Jana ama Juzi.
Kutokana na tatizo hilo nilipopata pesa nikaenda nikanunua nguo nyingi mara moja ikiwemo mashati, suruali, viatu na kadhalika na perfumes wadau tangu siku hiyo nilipoingia na nguo hizo hadi leo sijapata haki yangu ya msingi kwamba eti nguo hizo nimepewa zawadi na mwanamke wa nje, maana ilikua ni siku moja kabla ya valentine.
Nikamwelewesha kuwa nimenunua nguo kwa kuwa hali yangu ya mavazi ilifikia pabaya, bado akawa mkali akabadilisha kiswahili sasa badala ya kudai nimepewa zawadi na mwanamke wa nje akadai eti nitanunuaje nguo wakati ndani kuna vitu kibao vinahitaji pesa, nikahoji kwa hiyo mimi nitembee kama chokoraa na nguo zilizochoka kisa kuna mahitaji ndani?
Nivae masempele kisa chake nini?
Wakati huo huo yeye kila siku anakuja na nguo mpya wakati mwingine hadi anakopa nguo na kulipa end month mbona mimi sisemi? Au mimi sina haki ya kupiga pamba?
Halafu inakuaje kwa huu mgogoro mdogo hivi sasa analala amevaa nguo nyingi kwa maksudi au nimbake?
Maana mahitaji yote ya ndani natoa ingawa mapungufu hayakosekani kama zilivyo familia zetu za kitanzania.Sasa sijui mnasemaje kwa hili?
Mkewe mbinafsii hana lolote,.inavonoga unatoka na chalii ako kanyuka vitu classic hadi unatamani kila mtu awaone nyie tuu.....hahahha huyu atakuwa wakuja tuuHizi ndo hzi basi tu, ss hcho nacho cha kununa yule nae,khaaaaaaaaa,nawe piga kimya tu tena ujifanye huelew lolote, atajirudi mwenyewe, halaf huyo mkeo hapendi ww upendeze, ama kweli tunatofautiana, mm nnavyopenda msela wangu apendeze daaaa
hahahaaah umemkariri balaaNimeombwa hela ya wigi 300,000/= kuna wigi la bei hiyo?
Mke wangu amepata zero kwenye interview, ananilaumu
Hela za matunzo ya mtoto ninazotuma, wanakula na jamaa yake
Nimetumbukia kwenye majaribu mazito na mke wa rafiki yangu
Hataki nimpe lifti mdogo wake
Nimemkopesha hela, baada ya kunionjesha tunda kagoma kunilipa
We jamaa thread zako dah! Unaonekana unapenda sana kuwa-expose wapenzi wako.
Yani wewe ni shidaaaaambake tu mkuu.. huwezi tembea kama chokoraa aisee nakuunga mkono.. ila mkeo ni mbinafsi na ajiamaini
Ha ha haYani wewe ni shidaaaaa
Ni nziHUYU JAMAA NA IZI MADA ZAKE MKEO HUWAGA NDIO HUYOHUYO MMOJA UNAELETA MASHTAKA YAKE AU WAPO WENGI MAANA HAIWEZEKAN KILA SIKU YEYE TU
Hivi baba yako yuko wapi jamani unajua nilikuwaga nampenda sana??Mwambie nampenda sanaHa ha ha
Sijui katoroka home muda mrefuHivi baba yako yuko wapi jamani unajua nilikuwaga nampenda sana??Mwambie nampenda sana
Aliniacha na mimba sasa nina mtoto uwe unanitumia japo matumizi ya kumtunza mdogo wakoSijui katoroka home muda mrefu
Tafuta Substitute ili umalize mchezo. Hapo ndipo utakoona rha ya kuwa na zaidi ya Mke mmoja.
Nyie ndio mnamharibu mwenzenu, mnadhani akikimbia hilo tatizo ndio atakuwa ametatua? Kwanza hivyo ni vitu vya kumalizana wawili bila kukwaruzana.Mtafutie mchepuko njee,ukitoka kazin kwako unapitia kwa mchepuko unapiga mambo yako ukifika home uko hoi unalala tuu