Kwanini Kwenye ukoo wetu ukivuta bangi na ukanywa pombe unakuwa kichaa na mtu wa ovyo?

Fanya research kwa kuwauliza watumiaji wa ukoo wenu au ukishindwa jaribu mwenyewe
Utajua tu tatizo ni nini
 
Kwenye ukoo wetu ukivuta bangi unakuwa kichaa au niseme unadata.

Kuna jamaa zetu wengi tu wamedata je kuna ukoo ambao haupatani na bangi na pombe?

Mimi kwa kulijua hili jambo nimebaki kukaa mbali na hivi vitu.
Kuna maagano yaliwekwa na mababu zenu(hio ndio miiko ya kabila lenu)

Kuna basdhi ya Koo hazili baadhi ya wanyama mfano kondoo,njiwa,sungura nk
 
Kwenye ukoo wetu ukivuta bangi unakuwa kichaa au niseme unadata.

Kuna jamaa zetu wengi tu wamedata je kuna ukoo ambao haupatani na bangi na pombe?

Mimi kwa kulijua hili jambo nimebaki kukaa mbali na hivi vitu.
ukoo wenu kuna wachawi ndo manake!!!,,,YESU mwenyewe alibadili maji kuwa divai kweye harusi ya kanaan\[biblia!!!] kwenye QURAN TUKUFU mbunguni kuna vijito saba vinatiririsha POMBE man!
 
Kwenye ukoo wetu ukivuta bangi unakuwa kichaa au niseme unadata.

Kuna jamaa zetu wengi tu wamedata je kuna ukoo ambao haupatani na bangi na pombe?

Mimi kwa kulijua hili jambo nimebaki kukaa mbali na hivi vitu.
Huo ukoo nimeupenda sana
 
Kwenye ukoo wetu ukivuta bangi unakuwa kichaa au niseme unadata.

Kuna jamaa zetu wengi tu wamedata je kuna ukoo ambao haupatani na bangi na pombe?

Mimi kwa kulijua hili jambo nimebaki kukaa mbali na hivi vitu.

Habari,

Kwa kiasi kikubwa kunakuwa na shida za afya ya akili ambazo zimerithiwa ingawa zinakuwa hazijionyeshi moja kwa moja/recessive.

Pombe/Bangi/Madawa ya kulevya inakuwa ni kichochezi/trigger, kama kumsukuma mlevi tu.
 
Kwenye ukoo wetu ukivuta bangi unakuwa kichaa au niseme unadata.

Kuna jamaa zetu wengi tu wamedata je kuna ukoo ambao haupatani na bangi na pombe?

Mimi kwa kulijua hili jambo nimebaki kukaa mbali na hivi vitu.
Usivute Tena Hilo Jani na faru John!
 
Kwenye ukoo wetu ukivuta bangi unakuwa kichaa au niseme unadata.

Kuna jamaa zetu wengi tu wamedata je kuna ukoo ambao haupatani na bangi na pombe?

Mimi kwa kulijua hili jambo nimebaki kukaa mbali na hivi vitu.
Nimewahi sikia kuwa kuna watu wana asili ya kuwa na vinasaba vya uchizi hivyo ndumu au pombe nk huchochea hali hio. Madaktari wanajua zaidi.
 
Back
Top Bottom