hivi unajua ukienda kenya, wakenya wanaamini Tz kwa awamu hii ya tano tunapiga hatua ya maendeleo? lakini what goes on the ground tunajua sisi wenyewe watz. i think the same story goes around for Rwanda.wacha aogopwe lakini anachapa hatua kwenye maendeleo, bakini na midahalo yenu ya kuwajadili akina bashite!!
nchi yake ni safiii lakini masikiniiii watu wake hawana hela mifukoni, na wanaishi kwa hofu. kuna raha gani sasa hapo?starehe lakini ni mchapakazi ona nchi yake
aaaah wapi rwanda uchumi unakua si kama hukunchi yake ni safiii lakini masikiniiii watu wake hawana hela mifukoni, na wanaishi kwa hofu. kuna raha gani sasa hapo?
hata ukienda kenya, wakenya wanaamini tz uchumi wake unakua kama kwao, lakini cha moto tunakiona sisi tunaoishi huku bongo lala.aaaah wapi rwanda uchumi unakua si kama huku
Uku pesa yake ikikosa Purchasing Power. Mafuta ya diesel yanuzwa kwa Rf 1000( kama Tshs 2750/=) kwa lita wakati Tz ni Tshs 1900/=aaaah wapi rwanda uchumi unakua si kama huku
Uku pesa yake ikikosa Purchasing Power. Mafuta ya diesel yanuzwa kwa Rf 1000( kama Tshs 2750/=) kwa lita wakati Tz ni Tshs 1900/=
Usidanyike kwa u-strongness wa hivi pesa za kiafrica.They are Nothing.
wanadamu ambao hawajawahi kuishi Rwanda, huwa nawashangaa wanaposema uchumi wa Rwanda umekuwa au maisha mazuri, kule jamaa kabana kama alivyofanya magufuli hivi, mfukoni watu hawana hela kabisa, ila wanatembea kwenye barabara safi zilizofagiliwa. kuna faida gani sasa hapo?Kwa hali ya kawaida si rahisi bei ya mafuta Rwanda kuwa chini ya bei ya Tanzania sababu ya additional cost za transportation. Hicho hakiwezi kuwa kipimo sawa cha purchasing power.
Kuna utata, hakuna anayemuogopa, amezungukwa na viongozi waoga. How!!Hakuna anae mwogopa, sema kazungukwa na viongozi waoga