BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,255
- 15,745
Sijui kwanini napata haya mawazo kila nikiona iPhone.
Hizi simu zimekaa kimkakati sana, ni kama ziko kwa ajili ya "kuwasulubu" watu wa kundi fulani tu kutokana na ushamba unaombatana nazo mfano mikogo ya kujichetua ukiwa umeishika, kurukia kila toleo linalotoka nakadhalika.
Huwezi kukuta mtu mwenye akili timamu anatumia iPhone. Lazima kuna fyuzi haiko sawa.
Mwanzoni nilijua iPhone ni simu ya hadhi na ya kisomi lakini nilivyoona aina ya watu wanaozimiliki kwa pupa na kwa kuzivamia, nikaona hapa tatizo liko.
Huwezi kukuta kahaba hana iPhone, au housegirl..... sijui ni yale maduara matatu nyuma ndo yanawavuruga, sasa ni mwendo wa kulibeba simu juu juu na kulidolishia huku anakukonyeza.
Mimi huwa nikitaka kununua kitu naangalia kwanza aina ya watu wanaokitumia, nikikuta kundi kubwa la watu wa hovyo hovyo ndo wanakitumia naachana nacho mara moja chap kwa haraka.
Simu zimekaa kienyeji mno, hazina hadhi kabisa. Kila ukikutana na lishangazi sugu lazima liwe linamiliki iPhone.
Hata masekretari wengi wanayapenda sana haya maduara matatu.