Kwanini Hayati Dkt Magufuli aliichukia sana Kaskazini lakini sasa Rais Samia anaipenda sana hii Kanda?

Jesusie

JF-Expert Member
Aug 29, 2021
1,438
753
IMG-20220424-WA0008.jpg

Tanzania tangu kuasisiwa kwa mfumo wa vyama vingi miongo mitatu iliyopita,

Kanda yote ya kaskazini imeanguakia kwenye mikono ya Upinzani na wapinzani,

Hayati Rais Dkt Benjamin William Mkapa ndio Rais wa kwanza kuonja shubiri ya Upinzani na Wapinzani Tanzania,

Mpinzani wa kwanza strong wa CCM alitoka kanda ya kaskazini Mkoa wa Kilimanjaro,

Mhe Dkt Augustine Lyatonga Mrema Mchaga wa Kiraracha Vunjo ndio Mtanzania wa kwanza aliyeitikisa CCM vilivyo,

Mhe Dkt Augustine Lyatonga Mrema Mchaga wa Kiraracha Vunjo aliwahi kuwa mgombea tishio wa Urais wa JMT kupitia Chama cha NCCR -Mageuzi,

Tangu enzi za Mchaga Dkt Augustino Lyatonga Mrema hadi sasa kwa akina Freeman Mbowe wa CHADEMA mchaga wa Machame Vyama vyote 19 vya Upinzani 83% vinaongozwa na watu kutoka Kanda ya kaskazi,

Kanda nzima ya kaskazini imekuwa ikionesha Upinzani mkubwa kwa CCM karibu katika kila chaguzi tangu Uchaguzi wa mwaka 1995,

Marais wote walioiongoza Tanzania baada ya mfumo wa Vyama vingi walichagua zaidi kuitenga kaskazini licha ya kaskazini kuwa mbele kimaendeleo kulikofanywa na wamisionari hata kabla ya Tanzania kupata Uhuru wake,

Hali ilikuwa mbaya zaidi awamu ya tano pale ambapo Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli alipotamka hadharani kuwa kaskazini inapashwa kusubiri ili na maeneo mengine nayo yapate maendeleo,

Leo mambo ni tofauti sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwani amemwaga miradi ambayo haijawahi kushuhudiwa huko kaskazini tangu Uhuru wa nchi hii,

Kuhusu miradi lukuki ya mabilioni inayojengwa na Rais Samia Suluhu Hassan kanda ya kaskazini nadhani kila anayeishi mikoa ya Tanga, K'njaro,Arusha na Manyara atakuwa shahidi wa yeye mwenyewe,

Nilipoona Rais Samia tena ameichagua na kuiheshimisha Arusha ya kaskazini kwa kuipa heshima kubwa ya Uzinduzi wa "Tanzania Royal Tour Film " hapa Tanzania,

Huu ukawa ushahidi wangu mwingine ulioondoa chembe ya shaka kuwa Rais wa Awamu ya Sita Mhe Samia Suluhu Hassan anaipenda sana kanda ya kaskazini kuliko Marais wote waliowahi kuiongoza Tanzania baada ya mfumo wa Vyama vingi mwaka 1992,

Mtakumbuka Rais Samia baada tu ya kuapishwa alikwenda Arusha na akatoa zaidi ya TZS 520BL sawa 80% ya bajeti nzima ya Wizara ya Maji ya Tanzania nzima akawapatia Arusha kwaajili ya Mradi mkubwa wa maji uliokwama tangu enzi za Rais Jakaya Kikwete,

Haya yote yawafungue macho wananchi wa mikoa ya Tanga, K'njaro, Arusha na Manyara kuwa CCM ya Awamu ya Sita Chini ya Mkt wake na Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan inawapenda sana,

Lazima Wafahamu kuwa hivi vyama vya Upinzani wanavyovikumbatia ndio haswa mchawi wao kwenye maendeleo yao hasa wakati huu wa mfumo wa vyama vingi,

Kaskazini msipomuunga mkono huyu Mama itawachukua miaka mingi sana kupata mtu wa msaada kwenu kama huyu Mama,

NB, Ifikapo 2025 kaskazini haina chaguo zaidi ya Rais Samia Suluhu Hassan hii ni ndani na nje ya CCM, Kama kweli tunatamani kuiona kaskazini yetu inamea kwa kasi,

"Nani kama Samia? "
 
Rais Samia ndio mtu Sahihi 2025 kama kweli tunahitaji na sisi wa kaskazini kutambulika kama WATANZANIA,

Hii tupende tusipende, Ila tukiendelea na ma-CHADEMA yetu tutabaki wa hivi hivi tu,
2025 CCM tulishamaliza Uchaguzi, Kanda iliyotusumbua ni hii kaskazini,
 
Kumlinganisha Rais Samia na Rais Magufuli kwenye kuipenda kaskazini ni kumuonea sana Rais Samia,

Huyu mama anatupenda sana watu wa kaskazini na kwakweli CHADEMA inakufa kabisa huku,
Kwakweli Rais Samia deserves better,

Tumuunge tu mkono, hakuna namna
 
View attachment 2203354
Tanzania tangu kuasisiwa kwa mfumo wa vyama vingi miongo mitatu iliyopita,

Kanda yote ya kaskazini imeanguakia kwenye mikono ya Upinzani na wapinzani,

Hayati Rais Dkt Benjamin William Mkapa ndio Rais wa kwanza kuonja shubiri ya Upinzani na Wapinzani Tanzania,

Mpinzani wa kwanza strong wa CCM alitoka kanda ya kaskazini Mkoa wa Kilimanjaro,

Mhe Dkt Augustine Lyatonga Mrema Mchaga wa Kiraracha Vunjo ndio Mtanzania wa kwanza aliyeitikisa CCM vilivyo,

Mhe Dkt Augustine Lyatonga Mrema Mchaga wa Kiraracha Vunjo aliwahi kuwa mgombea tishio wa Urais wa JMT kupitia Chama cha NCCR -Mageuzi,

Tangu enzi za Mchaga Dkt Augustino Lyatonga Mrema hadi sasa kwa akina Freeman Mbowe wa CHADEMA mchaga wa Machame Vyama vyote 19 vya Upinzani 83% vinaongozwa na watu kutoka Kanda ya kaskazi,

Kanda nzima ya kaskazini imekuwa ikionesha Upinzani mkubwa kwa CCM karibu katika kila chaguzi tangu Uchaguzi wa mwaka 1995,

Marais wote walioiongoza Tanzania baada ya mfumo wa Vyama vingi walichagua zaidi kuitenga kaskazini licha ya kaskazini kuwa mbele kimaendeleo kulikofanya na wamisionari hata kabla ya Tanzania kupata Uhuru,

Hali ilikuwa mbaya zaidi awamu ya tano pale ambapo Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli alipotamka hadharani kuwa kaskazini inapashwa kusubiri ili na maeneo mengine nayo yapate maendeleo,

Leo mambo ni tofauti sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwani amemwaga miradi ambayo haijawahi kushuhudiwa huko kaskazini tangu Uhuru wa nchi hii,

Kuhusu miradi lukuki ya mabilioni inayojengwa na Rais Samia Suluhu Hassan kanda ya kaskazini nadhani kila anayeishi mikoa ya Tanga, K'njaro,Arusha na Manyara atakuwa shahidi wa yeye mwenyewe,

Nilipoona Rais Samia tena ameichagua na kuiheshimisha Arusha ya kaskazini kwa kuipa heshima kubwa ya Uzinduzi wa "Tanzania Royal Tour Film " hapa Tanzania,

Huu ukawa ushahidi wangu mwingine ulioondoa chembe ya shaka kuwa Rais wa Awamu ya Sita Mhe Samia Suluhu Hassan anaipenda sana kanda ya kaskazini kuliko Marais wote waliowahi kuiongoza Tanzania baada ya mfumo wa Vyama vingi mwaka 1992,

Mtakumbuka Rais Samia baada tu ya kuapishwa alikwenda Arusha na akatoa zaidi ya TZS 500BL sawa 80% ya bajeti nzima ya Wizara ya Maji ya Tanzania nzima akawapatia Arusha kwaajili ya Mradi mkubwa wa maji uliokwama tangu enzi za Rais Jakaya Kikwete,

Haya yote yawafungue macho wananchi wa mikoa ya Tanga, K'njaro, Arusha na Manyara kuwa CCM ya Awamu ya Sita Chini ya Mkt wake na Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan inawapenda sana,

Lazima Wafahamu kuwa hivi vyama vya Upinzani wanavyovikumbatia ndio haswa mchawi wao kwenye maendeleo yao hasa wakati huu wa mfumo wa vyama vingi,

Kaskazini msipomuunga mkono huyu Mama itawachukua miaka mingi sana kupata mtu wa msaada kwenu kama huyu Mama,

NB, Ifikapo 2025 kaskazini haina chaguo zaidi ya Rais Samia Suluhu Hassan hii ni ndani na nje ya CCM, Kama kweli tunatamani kuiona kaskazini yetu inamea kwa kasi,

JPM hakuwachukia alisema wakati umefika kwa maendeleo Tanzania kufanywa katika hali ya uwiano 'uniformity'. Ndio maana akapeleka wanyama mpaka burigi kufufua utalii maaneo hayo yaliyotelekezwa. Alitaka Lutindi huko Lindi kuwe na shule zinazo fanana na shule sio zile zinazo fanana na klabu ya gongo. Ubinafsi wa baadhi ya makabila ya huko ukamjengea chuki na kupotosha. Na mwambieni Mama kama anafikiri atawawin hao wabinafsi kwa style hiyo anatwanga maji kwenye kinu.
 
JPM hakuwachukia alisema wakati umefika kwa maendeleo Tanzania kufanywa katika hali ya uwiano'uniformity'. Ndio maana akapeleka wanyama mpaka burigi kufufufua utalii maaneo hayo yaliyotelekezwa. Alitaka Lutindi huko Lindi kuwe na shule zinazo fanana na shule sio zile zinazo fanana na klabu ya gongo. Ubibafsi wa baadhi ya makabila ya huko ukamjengea chuki na kupotosha. Na mwambieni Mama kama anafikiri atawawin hao wabinafsi kwa style hiyo anatwanga maji kwenye kinu.
Huu ni ubaguzi, Rais Samia tunamtaka 2025
 
Hali ikoje sasa? Lindi yenye shule nzuri sio hii aliyoijenga raisi Samia kwa pesa ya covid 19? Ni kipi alichofanya Lindi jpm ambacho wana Lindi watamkumbuka zaidi ya kuwaharibia bishara yao ya korosho? Ushamba wa jpm uliumiza maeneo mengi akifikiri anaumiza machache.
Ni kweli ubaguzi kwani maendeleo yaliwa bagua Lindi kwa mfano kuwa na shule ya serikali iliyofanana na klabu pombe haramu ya gongo.
 
View attachment 2203354
Tanzania tangu kuasisiwa kwa mfumo wa vyama vingi miongo mitatu iliyopita,

Kanda yote ya kaskazini imeanguakia kwenye mikono ya Upinzani na wapinzani,

Hayati Rais Dkt Benjamin William Mkapa ndio Rais wa kwanza kuonja shubiri ya Upinzani na Wapinzani Tanzania,

Mpinzani wa kwanza strong wa CCM alitoka kanda ya kaskazini Mkoa wa Kilimanjaro,

Mhe Dkt Augustine Lyatonga Mrema Mchaga wa Kiraracha Vunjo ndio Mtanzania wa kwanza aliyeitikisa CCM vilivyo,

Mhe Dkt Augustine Lyatonga Mrema Mchaga wa Kiraracha Vunjo aliwahi kuwa mgombea tishio wa Urais wa JMT kupitia Chama cha NCCR -Mageuzi,

Tangu enzi za Mchaga Dkt Augustino Lyatonga Mrema hadi sasa kwa akina Freeman Mbowe wa CHADEMA mchaga wa Machame Vyama vyote 19 vya Upinzani 83% vinaongozwa na watu kutoka Kanda ya kaskazi,

Kanda nzima ya kaskazini imekuwa ikionesha Upinzani mkubwa kwa CCM karibu katika kila chaguzi tangu Uchaguzi wa mwaka 1995,

Marais wote walioiongoza Tanzania baada ya mfumo wa Vyama vingi walichagua zaidi kuitenga kaskazini licha ya kaskazini kuwa mbele kimaendeleo kulikofanya na wamisionari hata kabla ya Tanzania kupata Uhuru,

Hali ilikuwa mbaya zaidi awamu ya tano pale ambapo Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli alipotamka hadharani kuwa kaskazini inapashwa kusubiri ili na maeneo mengine nayo yapate maendeleo,

Leo mambo ni tofauti sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwani amemwaga miradi ambayo haijawahi kushuhudiwa huko kaskazini tangu Uhuru wa nchi hii,

Kuhusu miradi lukuki ya mabilioni inayojengwa na Rais Samia Suluhu Hassan kanda ya kaskazini nadhani kila anayeishi mikoa ya Tanga, K'njaro,Arusha na Manyara atakuwa shahidi wa yeye mwenyewe,

Nilipoona Rais Samia tena ameichagua na kuiheshimisha Arusha ya kaskazini kwa kuipa heshima kubwa ya Uzinduzi wa "Tanzania Royal Tour Film " hapa Tanzania,

Huu ukawa ushahidi wangu mwingine ulioondoa chembe ya shaka kuwa Rais wa Awamu ya Sita Mhe Samia Suluhu Hassan anaipenda sana kanda ya kaskazini kuliko Marais wote waliowahi kuiongoza Tanzania baada ya mfumo wa Vyama vingi mwaka 1992,

Mtakumbuka Rais Samia baada tu ya kuapishwa alikwenda Arusha na akatoa zaidi ya TZS 500BL sawa 80% ya bajeti nzima ya Wizara ya Maji ya Tanzania nzima akawapatia Arusha kwaajili ya Mradi mkubwa wa maji uliokwama tangu enzi za Rais Jakaya Kikwete,

Haya yote yawafungue macho wananchi wa mikoa ya Tanga, K'njaro, Arusha na Manyara kuwa CCM ya Awamu ya Sita Chini ya Mkt wake na Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan inawapenda sana,

Lazima Wafahamu kuwa hivi vyama vya Upinzani wanavyovikumbatia ndio haswa mchawi wao kwenye maendeleo yao hasa wakati huu wa mfumo wa vyama vingi,

Kaskazini msipomuunga mkono huyu Mama itawachukua miaka mingi sana kupata mtu wa msaada kwenu kama huyu Mama,

NB, Ifikapo 2025 kaskazini haina chaguo zaidi ya Rais Samia Suluhu Hassan hii ni ndani na nje ya CCM, Kama kweli tunatamani kuiona kaskazini yetu inamea kwa kasi,
Si kanda ya Kaskazini tu, Magufuli na hata marais wengine waliitenga mikoa ya Kilimanjaro, Mbeya, na Kagera.
Mimi wa Mbeya barabara za kuunganisha miji kidogo haipo kabisa,
Na hata barabara kuu kwenda Zambia imenyanyapaliwa na Magufuli kwa miaka zaidi ya 20.
 
Nakuombea ujazwe roho mtakatifu ili urudi kufanya editing.
 
Hali ikoje sasa? Lindi yenye shule nzuri sio hii aliyoijenga raisi Samia kwa pesa ya covid 19? Ni kipi alichofanya Lindi jpm ambacho wana Lindi watamkumbuka zaidi ya kuwaharibia bishara yao ya korosho? Ushamba wa jpm uliumiza maeneo mengi akifikiri anaumiza machache.

Inawezekana wakati huo hakujua Lindi wana wachawi kwa muundo maalumu. Utasikia mchawi wa shina, kata, tarafa ....Na pengine wakikwamisha maendeleo who knows.
 
Back
Top Bottom