johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,049
- 164,351
Nakumbuka Hata wakati wa UKAWA ni hawa hawa akina Mrema ndio walimfanyia figisu Julius Mtatiro wa CUF kwa sababu ya njaa zao
Sasa kama Chadema kwenye Uchaguzi wa Ndani wanahongana makreti ya Bia kwa wasimamizi watawezaje kuikemea NEC na Wakurugenzi?
Pale Kenya vyama vya Siasa hutumia Chama cha Wanasheria kuuendesha chaguzi zao Ili kuepuka Rushwa na Upendeleo
Je, Zuma Leo huko SA atafanya kile kilichomshinda Lowassa na Chadema hapa Bongo?😂
Ni hapa Kwa Zulu Natal nitawajuza yote 🐼