Kwanini baadhi ya 'secretary' wengi hawaolewi?

Kuna tatizo sana la mausiano kwa ma secretay, (si wote) wengi huwa hawaolewi pamoja na wengi wao kuwa warembo haswa na hata walio katika ndoa zao nyingi huwa zina mgogoro wa hapa na pale sasa tatizo huwa liko wapi?

Ebu tupia mchango wako hapo unachojua.
ngoja nimwite mtu wa kazi maalum Jimena
 
Mabosi wanawatimizia mahitaji yao mengi ikiwemo na kuwapandisha vyeo, kwanini wasishobokewe? Hapo thamani ya muowaji inapungua mdogomdogo au kupotea kabisa.
 
PS wengi hujifanya nao ni maboss kuliko hata boss mwenyewe.... hako ka kiburi kanawafanya wapoteze sifa ya kuwa na mahusiano thabiti.
 
baadhi ndo pona yetu humo maofisini, tunakwenda sambamba na maboss zetu, boss akisafir sisi ndo wapigaji
 
Nakuunga mkono..nima mifano hai wengi ninaowajua hawajaolewa na walioolewa wanapakuliwa nje ya ndoa kwa sana tu
 
Back
Top Bottom