ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 58,676
- 69,306
Katika watu wanaotajwa kuchangia pakubwa kwenye mapinduzi ya Zanzibar ya January 12,1964 ni John Okello kutoka Uganda akiwa Kijana wa umri mdogo wa miaka 29.
Yeye pamoja na wanamaponduzi wenzie kama Mohammed Babu na Hanga walijitolea kumfurusha Sultan na kisha Kuwapa nafasi kina Abeid Amani Karume kushika Dola.
Ila Sasa Cha kushangaza ,Karume na kundi lake walingeuka Okello wakamtimua akiwa hana kitu "roho mbaya" kana kwamba alikuwa ni askari wa Sultan.
On top of that bwana Karume alimnhonga Hanga Kwa kile kilichoitwa uhaini.
View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1745833625155768821?t=UABf-uGK2-5pudnq0FwotQ&s=19
My Take
Karume alikuwa katili sana ndio maana hakudumu madarakani akapigia upanga ule ule ambao aliwapitisha wenzie.