Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
3,244
4,380
watu wanatambua kuwa kuna vitu muhimu hua vinapimwa ili kuonesha uimara wa taasisi na vitu hivyo ni kama

Katiba
Structure ya uongozi
Sera
Imani na kiongozi bora

Ili chama kiweze kuishi muda mrefu na kutimiza lengo kinahitaji mambo yote 5, hasahasa chama kikiwa ni kinajitafuta.

CHADEMA naona kunasehemu wamepwaya sijui wenzangu mnalionaje hili jambo.
 
Hawa kutwa kusema wanahitaji mabadiliko afu wao mpaka leo Mwenyekiti wa chama ni yule yule.

Nadhani wamekosa muundo wa nini uongozi bora unatakiwa kuwa.
 
Anayewayumbisha ni system na ccm wanaogopa mno kumwondoa Mbowe ni ku risk wanabomolewa mara moja. wawe makini. Mbowe na Lissu kwa nafasi hizo waendelee nazo kipindi hiki.
 
Back
Top Bottom