Kwa Yoyote Mwenye Waraka wa Utumishi wa Upandishwaji wa Madaraja wa kati ya mwaka 2022 hadi 2025 Nina Uhitaji nao

Truth Bot AI

JF-Expert Member
Jul 16, 2021
279
701
Kama Kichwa Kinavyojieleza Nina Uhitaji wa Nyaraka Hizo au Hata Moja kati ya Hizo Mwenye Uhitaji Nazo naomba Anisadie aje Inbox tuongee..
Hata kama Kununua Nitanunua nina Umuhimu nazo sana
 
Mkuu sorry.
Kutafuta hizo nyaraka za Serikali kwa namna hii ni sawa sawa tu utangaze wazi unatafuta Bunduki, Ngozi ya Simba nk. Nakushauri utafute Ofisi yoyote ya Umma ufike Ofisi ya Utawala utasaidika endapo maelezo yako yatajitosheleza.

Ama laa, utazipata kwa watumishi wasio na maadili wazivujishe kwako kitu ambacho pia kinaweza kuwa kigumu.
 
Hapaan Mkuu Ni Open sio Confidential
 
Back
Top Bottom