Kwa watumiaji wa Zuku TV

Siku hizi wanakuachia tbc na Chanel 1 kama umeishiwa kifurushi ZUKU ni wazuri sana sijui kwa wapenzi wa mpira kama channel zao siki hizi zipo
 
Mkuu, je kwa wapenzi wa action movies... channels zipo?

-Kaveli-
zipo mkuu kuna
Zuku max
zuku action
Na zile movie nyingine kuna zuku novella
zuku nolly

tafuta king'amuzi cha zuku hutajilaumu mkuu
 
MI NATUMIA ZUKU,,CHANNEL ZOTE HIZO ZINAONYESHA ,,,,MALIPO YAO KWA MWEZI KIWANGO CHA CHINI 15,500,,,,ILA IYO VIASAT EXPLORE HADI ULIPIE Tsh.22,500__, Wanachokera kitu kimoja,,kifurushi kikiisha uhoni channel yoyote ya ndani,,,,,,hapo tu ndo kero kabisa,,labda serikali waliangalie ili aisee,,,,,ni mateso

Hivi ni king'amuzi gani kifurushi kikiisha zinabaki channel za ndani?
 
Back
Top Bottom