Kashi
JF-Expert Member
- Jan 6, 2013
- 897
- 744
Unaijua bei ya toyota rush wewe u unafanya masihara? Inacheza 25m mpaka 30
Unaijua bei ya toyota rush wewe u unafanya masihara? Inacheza 25m mpaka 30
Unaijua bei ya toyota rush wewe u unafanya masihara? Inacheza 25m mpaka 30
Jaribu Toyota Cami inakidhi vigezo vyako labda na hela yako pia
Naipenda sana hiyo gari kwanza ipo juu kwa barabara zetu imafaa sana nadhana inafanana sana na daihatsu turious kwa umbo na kila kitu ila turious ina cc ndogo zaidi ni 650cc tu so achague kati ya hizo mbilo hatojutaJaribu Toyota Cami inakidhi vigezo vyako labda na hela yako pia
Chukua Toyota Rush.
inaonekana huzijui toyota rush. toyota rush ya wapi atapata kwa mil 10? maana msije tu watu hapa mkawa mnataja majina ya magari mnayoyasikia sikia mkajifanya ndo mnamshauri.
Ukisoma post yangu namba 24 nimesema haizidi m15. Kuna mtu nilikuwa namjibu alisema ina-range kati ya m 25-35.kwa hiyo hiyo ndio milion 10 itatosha?? hiyo 2600 ni FOB tu.. weka bei ya shipping, insurance na inspection hapo.. CIF inakuja kama 3800 hivi kwa haraka haraka... andaa tena ela kama hiyo ushuru port charges na agent fees,
milion 10 ni hela ndogo sana kuagiza gari.. zaidi ya vitz, passo, kwa kodi za sasa hata raum au ist hazitoshi....
si yeye tu, wachangiaji wengi wa bandari salama wamejengeka kifikra kuwa kila mdau jf ni wa dar. chunguza hiliSafari ya mbali kwenda bukoka kutoka wapi?, mwanza, chato au karagwe?
Tafuta SANLG
Munawaar yuko wapi jamani aje atupe uzoefu. Kamanda njoo huku