DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,982
- 11,840
Hiyo ni two Ila uligongwa tuta tu......ingawa ni kweli three zenye kombi zilizobalance zinachaguliwa kama kawaida kwa mfano mm nilipata B 3 za chem,bios na geog na zilizobakia ni miswaki yote na nikachaguliwa advance govt kama kawaida nikiwa na div 3 ya 26Mkuu hauko sahihi hata kidogo, div three wengi sana wanachaguliwa.
Hata mie nilikuwa na dvn three ya 18 miaka kadhaa iliyopita , lakini nilichaguliwa kwenda Government school
Nilikuwa na B nne c mbili d moja na f moja.