nlikua na issue km hio loan officer wetu aliwacontact HESLB Wakanambia inabidi niandike barua ya kuomba mkopo ipitie kwa dean of student,dean wa shule yako na vice Chancellor barua inatumwa kwa director wa HESLB, lakn ungeongea na loan officer wa chuo chenu angekupa maelezo yanayoeleweka