No prob mkuu.
Torrent; unahitaji torrent download client kama utorrent,bitspirit etc. (Mimi natumia bitspirit)
Hapa utatembelea web za torrent ka 1337x, limetorrent, pirate bay kwa browser yako iwe firefox,chrome etc. Kisha utasearch na kuchagua file unalotaka kosha tumia magnet link (zina alama ya sumaku)
Direct zipo
My480mkv
O2tvseries
Nitaweka nyingine
Free online streaming (limited to 360p )
1movies
Ila hii pia unaweza download kwa kutumia IDM.
nitakuandikia kwa kirefu PM