nilianza kuangalia movie za Godfather muda mrefu sana,Kuna ndungu yangu alikua anaangalia kipindi kicho mimi mdogo sana sikuwahi kuzielewa na lugha ndio ilikua haipandi na kipindi hicho
movie kama haina mijegeje ilikua utani tu
Nilipo kua kua nikaziludia movie zile tatu godfather part 1,2,3 ni balaa sana Hasa Al pacino
katika part 2 ndio alitia fola
unaweza kumbuka ni part gani ya movie ilikufurahisha sana,