Habari,nimejaribu kutafuta nyuz ambayo inaelezea utaalam wa kufunga mziki kwenye gari sijaona,hivyo nikaona sio mbaya kama nitafungua nyuzi humu,hii maada ni maalumu kwa wanaopenda mziki mkubwa na loudest pamoja na bass ya kutosha kwenye gari,
Pia kwa wale ambao wanapenda mziki wa saizi ya kati pamoja na stereo nzuri,bass ya wastan,pia waweza uliza ama kushare ufahamu ipi ni woofer nzur ktk gari,au unaweza kuuliza kuhusu radio za gari pamoja na ubora,nitashauri nachokielewa lkn najua wapo wengine watakua wanafaham zaidi ivyo tutasaidiana,,
Pia ukitaka ushauri jinsi ya kupamba gari yako kwa cool stiker pia tunaweza kushauriana,au nini uweke kubadiri mwonekano wa gari yako kua bora na nazifu zaidi,pamoja na rims ya kuendana na gari yako ikawa na mwonekano mzur zaid
Unapatikana wapi?Habari,nimejaribu kutafuta nyuz ambayo inaelezea utaalam wa kufunga mziki kwenye gari sijaona,hivyo nikaona sio mbaya kama nitafungua nyuzi humu,hii maada ni maalumu kwa wanaopenda mziki mkubwa na loudest pamoja na bass ya kutosha kwenye gari,
Pia kwa wale ambao wanapenda mziki wa saizi ya kati pamoja na stereo nzuri,bass ya wastan,pia waweza uliza ama kushare ufahamu ipi ni woofer nzur ktk gari,au unaweza kuuliza kuhusu radio za gari pamoja na ubora,nitashauri nachokielewa lkn najua wapo wengine watakua wanafaham zaidi ivyo tutasaidiana,,
Pia ukitaka ushauri jinsi ya kupamba gari yako kwa cool stiker pia tunaweza kushauriana,au nini uweke kubadiri mwonekano wa gari yako kua bora na nazifu zaidi,pamoja na rims ya kuendana na gari yako ikawa na mwonekano mzur zaid
We utakuwa wa ajabu sana mkuu, unachukiaje sound aisee!?Ninavyochukia kelele. Nadhani hata redio kwenye gari haijawahi kuwashwa.
We utakuwa wa ajabu sana mkuu, unachukiaje sound aisee!?
Inakwenda kwa bei gani?Zipo nying sana mkuu japo bei imesimama sana,mfano kuna hii kenwood,inauwezo mkubwa wa out put,kioo ni full hd na ni inbuilt equilizer,inaplay hdmi pia,pia video za mp4 inacheza,unadownload youtube unaplay bila video kuziconvert
Mkuu kwa comment hii siyo tangazo wala simpigii debe huyu Kijana wa kufunga funga Alams, city cover, Rim kali, system soundHuu uzi haujakamilika.
Nilitamani ungetufahamisha ukitaka mziki mzito vifaa vinavyotumika na mafundi wazuri wako wapi nk
Huyo jamaa promo nyingi thatz why, ukitaka kufungiwa muziki nenda Sinza Mapambano utawakuta vijana pale, zamani yapata kama miaka mitano nyuma alikuwa Muhindi mmoja hivi mitaa ya kisutu anajulikana kama Audio sensations alikuwa anafunga muziki kwenye gari hadi wa milioni tano, akichukua gari anaweza akakaa nayo siku tatu anafunga muziki na gari ikipita kweli unajua kuna mziki wa maana sio makeleleMkuu kwa comment hii siyo tangazo wala simpigii debe huyu Kijana wa kufunga funga Alams, city cover, Rim kali, system sound
Huyu kijana anaitwa DICKSON SOUND/SOUND ENGINEERING opposite na Bank ya DCB magomeni usalama.
naona amewafungia madj wakubwa wa East Africa radio, profesa jay, shish baby, watumishi wakubwa wa serikalini wengine wa pale pale wilayani/kinondoni... Chege, dully n.k
daaah mkuu umeniongezea mitaa ya siku za usoni za kuja kufunga sound yangu.Huyo jamaa promo nyingi thatz why, ukitaka kufungiwa muziki nenda Sinza Mapambano utawakuta vijana pale, zamani yapata kama miaka mitano nyuma alikuwa Muhindi mmoja hivi mitaa ya kisutu anajulikana kama Audio sensations alikuwa anafunga muziki kwenye gari hadi wa milioni tano, akichukua gari anaweza akakaa nayo siku tatu anafunga muziki na gari ikipita kweli unajua kuna mziki wa maana sio makelele
Wewe unapatikana wapi?Habari,nimejaribu kutafuta nyuz ambayo inaelezea utaalam wa kufunga mziki kwenye gari sijaona,hivyo nikaona sio mbaya kama nitafungua nyuzi humu,hii maada ni maalumu kwa wanaopenda mziki mkubwa na loudest pamoja na bass ya kutosha kwenye gari,
Pia kwa wale ambao wanapenda mziki wa saizi ya kati pamoja na stereo nzuri,bass ya wastan,pia waweza uliza ama kushare ufahamu ipi ni woofer nzur ktk gari,au unaweza kuuliza kuhusu radio za gari pamoja na ubora,nitashauri nachokielewa lkn najua wapo wengine watakua wanafaham zaidi ivyo tutasaidiana,,
Pia ukitaka ushauri jinsi ya kupamba gari yako kwa cool stiker pia tunaweza kushauriana,au nini uweke kubadiri mwonekano wa gari yako kua bora na nazifu zaidi,pamoja na rims ya kuendana na gari yako ikawa na mwonekano mzur zaid
Aseme hana gari tuu tutamuelewaWe utakuwa wa ajabu sana mkuu, unachukiaje sound aisee!?
Bei Tafadhali!!Zipo nying sana mkuu japo bei imesimama sana,mfano kuna hii kenwood,inauwezo mkubwa wa out put,kioo ni full hd na ni inbuilt equilizer,inaplay hdmi pia,pia video za mp4 inacheza,unadownload youtube unaplay bila video kuziconvert
Nimekutana ha huyu jamaa arusha ni mzuri mno kufunga na kutune muziki kwenye magari. Kanifungia mziki swaafi. Yeye ni mtaalam wa pioneer. Yupo sakina kibanda mkaa wanamwita Rasta au mkenya.
Na ujana maji ya moto..Ngoja vijana wenzio waje.
Anaitwa Alex wa eastsidesoundsNimekutana ha huyu jamaa arusha ni mzuri mno kufunga na kutune muziki kwenye magari. Kanifungia mziki swaafi. Yeye ni mtaalam wa pioneer. Yupo sakina kibanda mkaa wanamwita Rasta au mkenya.