male issa yahaya
Member
- Sep 7, 2023
- 11
- 1
Mimi ni mwanafunz nilie reseat mtihn wa kidat cha 4 mwaka jana nataman kujua ni vipi nawez kuendelea na kidato cha sita kupitia shule ya serikali? Yote wazazi kushindwa gharama za shule za private sasa ni ushaur upi nawez pewa niweze endelea kidat cha sita kwa shule za serikal nina ufaulu wa C4 na D3
History C
Kiswahili C
English C
Literature C
Geo D
Civics D na ziada ya
Islamic D
Naomba msaada pls niweze jua naanzia wapi
History C
Kiswahili C
English C
Literature C
Geo D
Civics D na ziada ya
Islamic D
Naomba msaada pls niweze jua naanzia wapi