The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,025
- 1,173
Nashukuru sana mkuu me GPU yangu ina mb 64 tyuu na mimi nia yangu nilikua nataka niweke ya 1GB ramkubadilisha gpu inabidi ujue power supply yako ina uwezo gani. hivyo fungua ule mfuniko angalia ina watts ngapi.
na gpu vram ndio inamatter ila speed ya hizo ram ndio muhimu zaidi. kuna gpu zina vram 128mb tu lakini zinazipita gpu zenye ma gb ya ram.
achana na gpu yoyote yenye ddr3 za ram sababu tayari ram zake ni slow compare na za pc.
tafuta atleast zenye ddr5 ram.
pia hio gpu yako ni ipi? ungeitaja hapa sababu inaweza kuwa ni nzuri ila ikawa na tatizo jengine kama driver
Ila kwa maelezo yako ntafanya kama ulivonishauri na pia nilikua nakuuliza gpu yenye vram ya 128 inauzwa shingapi??Nashukuru sana mkuu me GPU yangu ina mb 64 tyuu na mimi nia yangu nilikua nataka niweke ya 1GB ram
gpu ni nyingi sana ila sikushauri kununua kwa kuangalia vram.Ila kwa maelezo yako ntafanya kama ulivonishauri na pia nilikua nakuuliza gpu yenye vram ya 128 inauzwa shingapi??
Kama kichwa cha habari kinavyojileza hapo juu
COREi7
PROCESSOR 3.34GHZ
RAM 6GB
HDD 500GB nahitaji kubadilisha GPU coz most of game ambazo Nazi install zinaniletea ujumbe your VRAM is too low VRAM yang ni mb 64 tyuu
Mzee hiyo pc iko vizuri sana, naomba niulize ulinunua wapi? Yani hapo ukinuua gpu nzuri umemaliza kazi. Cha mwimu cheki Power supply imeandika watts ngapi ujue limitations zako. Pia unaweza kutumia hii app tujue kuhusu motherboard yako, na gpu yako vizuri zaidi HWiNFO, HWiNFO32/64 - Download
Hii ni yangu niliagiza kutoka njee kuna jamaa alinileteaa
Laki 9 na 50 mkuuMzee hiyo pc iko vizuri sana, naomba niulize ulinunua wapi? Yani hapo ukinuua gpu nzuri umemaliza kazi. Cha mwimu cheki Power supply imeandika watts ngapi ujue limitations zako. Pia unaweza kutumia hii app tujue kuhusu motherboard yako, na gpu yako vizuri zaidi HWiNFO, HWiNFO32/64 - Download
Na powersupply ya laptop unaangaliaje mkuuLaki 9 na 50 mkuu
adapter ya laptop ndio power supply.Na powersupply ya laptop unaangaliaje mkuu
100- 240v 1.7A 50-60 hz 19.5v 3.3A 70w ndo ilvyoandikwa hapo mkuuadapter ya laptop ndio power supply.
angalia ina watts ngapi
power supply yake ni 70w100- 240v 1.7A 50-60 hz 19.5v 3.3A 70w ndo ilvyoandikwa hapo mkuu
Kwa nini mkuu?power supply yake ni 70w
ila hope unafahamu huwezi eka gpu kwenye laptop
na huwa powersupply yake inapata moto sana nikiwa naitumia mpka kuna kipndi ilichoma waya wa chaji .au power supply yake haiendani na pc ??Kwa nini mkuu?
laptop hazina port inayoweza pokea bandwitch ya gpu.Kwa nini mkuu?
ni kweli kaka hapo ukibadili psu na gpu una gaming machine itakayodumu hata miaka 5 hadi 10 ijayo. na technology kama direct x 12 na vulcan sasa hivi games zinaanza kutumia thread nyingi hivyo i7 inazidi kuwa nzuri.Asante chief. Mashine nzuri hiyo. Sijaona nyingine inakribia hapa bongo ukiachana na custom za watu waliojenga