Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,784
Mbona mke wangu kaweka? Kakwama wapi?Nimejaribu kuwatafiti wadada kadhaa ambao mambo yao katika uhusiano hayako vizuri na wengi wao wamesuka vile vi dred...
Kuna siri gani nyuma ya hilo? Ni ile saikolojia ya kuwa am strong and I can move alone au vile vi dred viinapunguza machungu ya kutendwa?
View attachment 508584
Mbona mke wangu kaweka? Kakwama wapi?