Kwa mwenye maswali kuhusu wanyamapori na hifadhi zetu za tanzania uliza hapa utajibiwa

Nasikia Fisi ananuka sana kiasi ambapo Wanyama kama Simba au Duma hawawezi kumla... je ni kweli?
Wanyam wanaokula nyama kiujumla huwa hawalani.

Simba huwa hali chui, wala chui hali mbwa.

Akiingia anga zake watapiga na kumuuua tu,

Fisi tu ndio huweza kula mizoga yote na wanyam wengine
 
Wanyam wanaokula nyama kiujumla huwa hawalani.

Simba huwa hali chui, wala chui hali mbwa.

Akiingia anga zake watapiga na kumuuua tu,

Fisi tu ndio huweza kula mizoga yote na wanyam wengine
Asante sana kwa jibu lako nzuri
 
Sasa unasemaje asante ilhali sio wewe ulioliza, unajuaje kama nimeridhika na jibu..?

Na kwanini mkuu ulikaa kimya muda hajajibu wakati wewe ni mtoa thread..!?
Sikuwa hewani mkuu nilikuwa na majukumu ya kikazi nimeshukuru umesaidia toa jibu.
 
Asante sana. ..naomba muendelee kuwalinda wanyama wa porini na ndege pia kwani hao ni baraka kutoka kwa MOLA. ..Mwenye Enzi Mungu atuongoze milele
 
Back
Top Bottom