Kwa mwendo huu sidhani kama kuna mtumishi wa umma ataichagua tena CCM

Kumbe CHADEMA peke yao ndio wanaoilalamikia serikali? hujaona anayejuta hapo juu ni mfanyakazi wa umma aliyeichagua ccm uchaguzi uliopita na sasa anajutia?


Akili zako zipo mgongoni bila shaka
Hata wale wanafunzi ambao hawakupata mkopo wote ni CHADEMA mkuu.
 
ukinyonga,kubadili gia angani,kufata upepo,ndiko kunakoicost upinzani na ndiko kunakofanya ccm ichaguliwe.
wapinzan bado hawana kauli moja,umoja mmoja,msimamo mmoja,wamekuwa ni watu wa kufuata upepo unakoenda.
wapinzani ndio wa kwanza kuvurugana hada ktk nyakat muhimu ambazo hawakutakiwa kulegea.
unapoongelea chadema ya 2010 si sawa na chadema ya miezi 10 kabla ya ya uchaguzi.
chadema ambayo ilikuwa inawatu wanaoitia nguvu lakin ikaja legea kwa kitu kidogo,kwa kuwaamini baadhi ya watu.
hivi unafikiri leo hii mbowe akienda ccm atapewa nafasi haraka ?
wapinzani kuichukua tawala ya tanzania ni rahisi sana lakini kwanza kuwe na umoja mmoja kama ni mgombea awekwe mmoja na siyo kuwe na ukawa halaf kuwe na mgombea wa cdm na cut ktk sehemu moja,hapo mtaangukia pua tu kwa pigo la kick kali ya ccm.
wapinzania lazina waandae watu watakao aminika na watanzania kwa muda mrefu.
jiulize upinzani wa tz leo ungekuwa wapi kama zito angekuwepi cdm ?,jiulize wako wapi kina mnyika,huo ni mfano tu wa nini wapinzani wanatakiwa kufanya.
ccm 2015 ilicheza karata moja ngumu ya kumuweka magufuli ambae ilikuwa ngumu kwa wapinzani kumpatia makosa ambayo yanaonekana kirahisi tofauti na walichofanya wapinzani.
WAPINZANI WAKIJIPANGA WATASHINDA BILA YA KULALAMIKA KUWA WAMEIBIWA KURA.
Ila poa magufuli aendelee kuyatumbua tu majipu yote maana hakuna namna lazima iwe hivyo tu.
 
Ambao wanaichukia CCM kipindi cha shida ndio wasaliti wa kubwa wa mabadiliko,leo wanaichukia CCM kwa sababu hawajaongezewa mshahara na kunyimwa posho,kesho wakiongezewa mshahara na kupewa posho wakwanza kuichagua CCM.
 
Kuchagua ccm inawezekana nakutegemea wapinzani watamsimamisha nani .....

Mfano uchaguzi mwaka juzi kuna ndugu zangu wanaofanya Kazi Serikalini waliniambia kura za ubunge na udiwani waliwapa chadema ..

Lakini waligoma kumchagua Lowassa...

So kila kitu kinawekana kutokea lakini kwangu Mimi kama wagombea ni Magufuli na Lowassa bora nisipige kura kabisa......
You have stolen my thoughts broh.
 
Unaijua idadi ya watumishi wa umma nchini?. Elewa Idadi Yao ndo ujue Zina uzito gani kwa kete ya CCM
Sio tu watumishi wa umma.....hata sekta binafsi pia hawamtaki kabisa JPM. Kwa ufupi hatujui ni kundi gani kwenye jamii ambalo linamuunga mkono.
 
Kwa kila hali, kwa kila namna wafanyakazi wa umma nchi hii
wameshachoka na kilichobaki ni kufanya maamuzi magumu tu.

1.Nyongeza ya mishahara hadi leo ni kizungumkuti.
2.Ishu ya kupanda madaraja nayo imekuwa shida.
3.Posho nazo ni kizungumkuti.

Ikumbukwe hali ni mbaya, maisha yamepanda bei kama kawaida.

Hadi sasa nimeona wafanyakazi kadhaa waliochagua CCM mwaka 2015 wakijuta na kujilaumu kwa maamuzi yao.

Kwa mwendo huu sioni mfanyakazi wa umma atakayeichagua tena CCM.

[HASHTAG]#mwafaa[/HASHTAG]
JK aliwaambia Watumishi wakitaka wasimchague kama sharti ni lazima aongeze mshahara. Watumishi wa Umma hawazidi 550,000 na haiwezekani wote wasiipigie CCM. Kama Bavicha mnafikiri mtachukua Nchi kwa propaganda za kitoto basi mtasubiri sana bila kwenda Ikulu.By the way, zile harambee za makanisani na misikitini za Bwana Yule zinaendeleaje? Lini atakuja Gongolamboto kutudhihaki kwenye daladala, au ni lini anakuja Buguruni kuonja uji wa Mama Ntilie??
 
..wabongo makondoo sana....ingekua Kenya sasa hivi wangeshalianzisha...wao Kenya madaktari wamegoma juzi mwezi mzima hadi mishahara imeongezwa kwa asilimia 40....na leo wameanza wafanyakazi vyuo vikuu....wabongo mmebaki kulialia tu...shame on you....
 
[
Chadema mkitaka kushinda 2020 mchukueni Kikwete awe mgombea wenu
emoji4.png
Huyo mchukueni ninyi...........Tutamchukua MWINYI
 
Kwa kila hali, kwa kila namna wafanyakazi wa umma nchi hii
wameshachoka na kilichobaki ni kufanya maamuzi magumu tu.

1.Nyongeza ya mishahara hadi leo ni kizungumkuti.
2.Ishu ya kupanda madaraja nayo imekuwa shida.
3.Posho nazo ni kizungumkuti.

Ikumbukwe hali ni mbaya, maisha yamepanda bei kama kawaida.

Hadi sasa nimeona wafanyakazi kadhaa waliochagua CCM mwaka 2015 wakijuta na kujilaumu kwa maamuzi yao.

Kwa mwendo huu sioni mfanyakazi wa umma atakayeichagua tena CCM.

[HASHTAG]#mwafaa[/HASHTAG]

Kwanza watumishi wa umma ni wachache.
Katika uchache wao... Majority ni waalim ambao huwa hawana msimamo wala confidence.
Wengi wa watumishi wa umma wapiga kelele huwa hawapigi kura.. Wamekata yamaa.
Wachache waliobaki wana madudu mengi kiutendaji...kwa hiyo husema zimwi likujualo.
Kura ziko vijijini... Sehemu ambayo kila ni kama mtoko Fulani au sehemu ya burudani. Watakuja Tu kupiga kura.
Hats hivyo watumishi wa umma huwa kama kuku wa kizungu... Hupati shida kuwachinja...unaacha two financial years before election.. Unalipa lips malimbikizo, unawapandisha baadhi vyeo , unaweka salary increment kishikaji. Basi wanakuwa happy ile mbaya.. Wanasamehe na kusahau yote..
Ushawahi kukutana na mwalimu kipindi cha kampeni za uchaguzi akiwa amelipwa malimbikizo?? Huwa wanachonga sana.
At times huwa nafikiri malimbikizo na vitu vingine km hivyo huwa vinawekwa kwa ajili ya kupata sifa kipindi cha election
 
Back
Top Bottom