Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,381
- 4,355
Mbona Lowasa anasema ccm iache kuwasumbua wakwepa kodi kwa kuwa ni rafiki zake waliomsapoti kwenye kampeni!! Hapa ufisadi na uhujumu ni tabia ya watu hauna uhusiano na chama chochote.Hufikirii hata robo ngoja nikueleweshe
Popote pale duniani chama tawala hakiwez kukwepa lawama zozote zinazoelekezwa kwa sababu dola wanayo na vyombo vya usalama mpk sheria wanaviongoza wao kwa hivo tunapolalamika kuhusu uhujumu uchumi kwa lugha nyingine tunaitaka serikali iliyopo madarakan ambayo ipo chini ya ccm ichukue hatua na kama haichukui tu nasema wao (ccm) ndo chanzo
Nadhani umenielewa dogo