KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,352
- Thread starter
- #41
Mnatawapa bp wake na michepuko yenu make mnavyofunguka ....???

Yani kama hilo dude limekupagawisha basi utakua unachukua vitu vilivojichokea sana
Mimi ni mmoja wao nasema siwezi chepuka na demu kama huyu kwa sababu tako lenyewe lina mabonde na milima. Mimi napenda wanawake wenye vigezo vifuatao: Awe na tako la wastani lisilo na milima na mabonde, asijichubue, asiwe na kitambi cha mataptap, asiwe mla hovyo asiyejipenda, asiwe mropokaji, asinuke sehemu za siri na makwapa wala mdomo, awe ananukia vizuri at all times, asiwe na nywele fake (kubeba tani 7 kichwani (wig) is a turn off for me, asiwe anaiga vitu vya nje visivyo na msingi, Asiishi maisha ya maigizo kama ya Wema Sepetu na wadada wa bongo muvi, awe anajitegemea na si tegemezi kwangu kila kukicha, asiwe mama huruma kwa wanaume wengine (najuwa kuna makabila mengine mademu hawakatai wanaume eti wanaona dhambi na mkosi wa kuto olewa kama utamkataa mwanaume).
Jamani hapa ni mume wa nani atajifanya achepuki....????

Duuuh!!!!Mkuu kama hivi vyote ni vigezo ya mchepuko tu,je vya mkeo vitakuaje?????
Hizo sifa zote unazozitaka ulimuumba wewe:what:
Mkuu wapo ila wamekua viumbe adimu sana kama faru vile
Na wao wanataka kidume mwenye vx v8 ,six parks, asiwe na Tako kama la Jb so kama hauna hivo vigezo kwa uchache umepishana nao
Tukununulie mdori
Mama Mdogo huyu wewe nini??Mmmm nina wasiwasi huyo mama kajaladia, makalio asilia hayawezi kaa kihasara hivyo. Loooh!!! Makalio ya mwanamke yanapendeza kama yamekaa na shape yake natural kama haya hapa chini, vinginevyo ni maigizo (kujalidia, mchina etc):
Weka Video yake nawewe,unatuwekea picha bila mtingisho sisi ni watoto?
Mkuu hauna macho, mbona wako wengi hapa mjini? Tembea ujionee, si kila mwanamke anapenda kitambi cha mataptap au kuiga kila kitu kutoka nje hata cha kijinga. Yaani nakuapia wako wengi sana wanaojipenda si kama uzaniavyo.