Bepari la bariadi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2016
- 420
- 674
Itakusaidia sana ukitumia akili yako kufikiria hata kuanzisha mradi wa kuku ili akili ifikiri jinsi ya kuwalisha kuku kila siku..usipoteze muda kufikiria mambo yaliyo nje ya uwezo wa akili yako.. ufahamu wa mambo ya biashara, teknolojia, utengamano wewe ni ZERO!Jana nilimsikiliza Ndugu rais akielezea wachoongea na waziri mkuu wa ethiopia.ikiwa nipamoja na Tanzania kununua umeme kutoka ethiopia kwa minajili ya kwamba bei yao ni nafuu.kwa hili hatakama wangekuwa wanatoa bure siyo kitu cha sisi kama watanzania kufurahi.kikubwa ni sisi tuanza kuzalisha umeme wetu unaotokana na mazingira yetu na kuuza kwa wateja kwa bei rahisi.kwanini wao wwamewezakwa hili hapana aisee.tujijenge uwezo wetu bwana.siku nyaya hizi zitakazo pitia kenya zikakatwa iitakuwaje
Pia from Tz to Ethiopia ni mbali aisee.labda kuna technologia ya wireless.
Suala la pili ni hili la ethiopia kwa kuwa ni landlocked country eti inampango wa kutumia bandari ya Dar.hivi kweli from ethiopia to eritria,DDjiboutsomalia egypt and kenya.despite ya usalama wa nchi husika.je nikweli kuna feasibilty ya jambo hili la adis abbaba kupokea mizigo yake kutokea Dar es salaam.
Sometime tuache akili zetu zitafakari bila la kuathiriwa na ukada au unazi wa vyama fulani
Kwahiyo mkurugenzi wa Tanesco atakuwa anaishi Adis ababa?
Au umeme ukikatika kule lindi tutapiga simu Adis ababa
Au nguzo ya umeme ikianguka kulenaivasha hadi tutume mafund
Kwani ule tunaowauzia nchi ya Zanzibar wao ukikatika kule huwa inakuwaje? Kwani mkurugenzi wa tanesco anaishi Zanzibar?Kwahiyo mkurugenzi wa Tanesco atakuwa anaishi Adis ababa?
Au umeme ukikatika kule lindi tutapiga simu Adis ababa
Au nguzo ya umeme ikianguka kulenaivasha hadi tutume mafund
Pole sana jamaa yangu.hujui ulitendalo. Nakusamehe bureItakusaidia sana ukitumia akili yako kufikiria hata kuanzisha mradi wa kuku ili akili ifikiri jinsi ya kuwalisha kuku kila siku..usipoteze muda kufikiria mambo yaliyo nje ya uwezo wa akili yako.. ufahamu wa mambo ya biashara, teknolojia, utengamano wewe ni ZERO!
Shilawadu si alishasema KA TAJwtz deni la tanesco zaidi ya bilioni 3
Kwani ule tunaowauzia nchi ya Zanzibar wao ukikatika kule huwa inakuwaje? Kwani mkurugenzi wa tanesco anaishi Zanzibar?
Jana nilimsikiliza Ndugu rais akielezea wachoongea na waziri mkuu wa ethiopia.ikiwa nipamoja na Tanzania kununua umeme kutoka ethiopia kwa minajili ya kwamba bei yao ni nafuu.kwa hili hatakama wangekuwa wanatoa bure siyo kitu cha sisi kama watanzania kufurahi.kikubwa ni sisi tuanza kuzalisha umeme wetu unaotokana na mazingira yetu na kuuza kwa wateja kwa bei rahisi.kwanini wao wwamewezakwa hili hapana aisee.tujijenge uwezo wetu bwana.siku nyaya hizi zitakazo pitia kenya zikakatwa iitakuwaje
Pia from Tz to Ethiopia ni mbali aisee.labda kuna technologia ya wireless.
Suala la pili ni hili la ethiopia kwa kuwa ni landlocked country eti inampango wa kutumia bandari ya Dar.hivi kweli from ethiopia to eritria,DDjiboutsomalia egypt and kenya.despite ya usalama wa nchi husika.je nikweli kuna feasibilty ya jambo hili la adis abbaba kupokea mizigo yake kutokea Dar es salaam.
Sometime tuache akili zetu zitafakari bila la kuathiriwa na ukada au unazi wa vyama fulani
Kwa wakazi wa Mbeya hasa Tunduma,wanatumia umeme kutoka Zambia na upo reliable sana kuliko huu wa kwetu lakini swali ni kwamba, kutoka Ethiopia mpaka Daslam ni makilometa mangapi? Kwa nini tusinunue teknolojia na sisi tukaja kuzalisha wa kwetu?
Kweli kabisa jamaa.watufundishe kuvua samaki na siyo kutuvulia samakiKwa wakazi wa Mbeya hasa Tunduma,wanatumia umeme kutoka Zambia na upo reliable sana kuliko huu wa kwetu lakini swali ni kwamba, kutoka Ethiopia mpaka Daslam ni makilometa mangapi? Kwa nini tusinunue teknolojia na sisi tukaja kuzalisha wa kwetu?
Reli ya Ethiopia inaenda mpaka Djibout lengo ni kusafirisha mizigo moja kwa moja. Sasa nashangaa uyu Rais wetu anasema Ethiopia wanataka kutumia bandari yetu,kwa akili za kawaida ni jambo la kushangaza kidogo.
Wameacha bandari zote uko mpaka waje Tanzania?
Nimetafakati sana mkuu kuhusu hili jambo.Reli ya Ethiopia inaenda mpaka Djibout lengo ni kusafirisha mizigo moja kwa moja. Sasa nashangaa uyu Rais wetu anasema Ethiopia wanataka kutumia bandari yetu,kwa akili za kawaida ni jambo la kushangaza kidogo.
Wameacha bandari zote uko mpaka waje Tanzania?