Majibu mepesi kwenye swali gumu.Walishasamehewa kulingana na vitabu vy dini.
Kama dhambi zilimalizika au ziliishia pale msalabani.Je? Kwa kipindi hiki zinaendelea au kwa sasa hakuna dhambi.Hakika Mungu aliwahurumia ndio maana akatengeneza mpango wa kuupatanisha uzao wake(jamii ya binadamu) na Mungu hata kumtuma mwanaye pekee aje atukomboe. Baada ya YESU kufa pale Kalvari swali la dhambi likawa limemalizwa nasi tunaweza kuwa na ushirika tena na Mungu kupitia kwa Ile Damu iliyomwagika msalabani.
Lakini naomba nitoe angalizo mambo ya Kimungu kwa fikra za kibinadamu ni kama hayapo vile. Kwakuwa Imeandikwa Hekima ya Mungu ni upumbavu kwa wanamu halikadhalika Hekima ya mwanandamu ni upumbavu kwa Mungu. Hivyo Jaribu kulichukulia kiroho kuwa mtu asiye na dhambi wala hatia alikufa ili Mimi na wewe tuwe na ushirika na Mungu tena
Dhambi ni Jambo ambalo adhabu yake hakuna mwanandamu awezaye kuilipa. Adhabu yake ni Mauti na kwakuwa Mauti ni moja na uzima ni mmoja tu ambao ni uzima wa milele. Sasa YESU alipokufa ambaye pekee ndiye aliyestahili kufa kwa ajili yetu akaweka njia ambayo kwayo twapata Uzima wa milele na kupita kutoka mautini. Usipokuwa katika njia hiyo huwezi kamwe kuwa na uzima wa milele. kwa hiyo Dhambi ipo na itakomeshwa mwishoni baada ya Shetani kuhukumiwa na kuteketezwa kwa moto.Kama dhambi zilimalizika au ziliishia pale msalabani.Je? Kwa kipindi hiki zinaendelea au kwa sasa hakuna dhambi.
Kwasasa tumepewa mwanga wa kuzitambua dhambi kwa wepesi kupitia amri za Mungu hivyo Amri za Mungu ni kioo cha kutumlikia kuwa tusitende dhambiKama dhambi zilimalizika au ziliishia pale msalabani.Je? Kwa kipindi hiki zinaendelea au kwa sasa hakuna dhambi.
Mungu aliwaumba Adam na Eva wakiwa wakamilifu wenye UHURU wa KUCHAGUA.
Zimebaki story hakuna action yoyote siku hizi tujadiliane tu hapa jamvini kana sehemu ya kupeana na kuongeza maarifa lakini sisi wote ni watenda dhambi na tumepungukiwa na utukufu wa MunguKwasasa tumepewa mwanga wa kuzitambua dhambi kwa wepesi kupitia amri za Mungu hivyo Amri za Mungu ni kioo cha kutumlikia kuwa tusitende dhambi