siku hizi jamaa anapiga roots za kwa mashekh na kanisani kuombewa ili Mungu atende muujiza kuyabadili matokeo ya Daudi Bashite kwenye cheti kua kama ya Paul Muyenge. Hatari sanaKuna mahala imeandikwa "mpe kaisari (mtawala wa dunia)yaliyo yake, na Mungu mpe yaliyo yake"
Kaisari anataka vyeti vya elimu vya bashite,na hata Mungu anajua ni haki kwa kaizari kudai vyeti vya elimu kutoka kwa bashite.
siku hizi jamaa anapiga roots za kwa mashekh na kanisani kuombewa ili Mungu atende muujiza kuyabadili matokeo ya Daudi Bashite kwenye cheti kua kama ya Paul Muyenge. Hatari sana
kwakweli hili swala ni zito kwake. ila haina haja ya kumbeba kwani haitakua haki kwa wazito kubebwa huku wanyonge wakinyongewa.Yuko mtegoni......anajua hii kashfa ikipenya sawa sawa,atakosa identity(utambulisho) manake atakuwa hana jina
Kama huna jina linalotambulika,utaombaje kazi?
Utagombea ubunge kwa jina lipi?
Uhamiaji na watu wa RITA wamekaa mkoa wa kula kichwa
Polisi wanasubiri,takukuru wanasubiri kuona alivyopata mshahara kwa utambulisho feki
Kimsingi huyu ndugu yuko njia panda .....hasa katika kazi zinazohusisha 'umma" cha kufanya atafute mambo binafsi tu kama biashara
Yuko mtegoni......anajua hii kashfa ikipenya sawa sawa,atakosa identity(utambulisho) manake atakuwa hana jina
Kama huna jina linalotambulika,utaombaje kazi?
Utagombea ubunge kwa jina lipi?
Uhamiaji na watu wa RITA wamekaa mkoa wa kula kichwa
Polisi wanasubiri,takukuru wanasubiri kuona alivyopata mshahara kwa utambulisho feki
Kimsingi huyu ndugu yuko njia panda .....hasa katika kazi zinazohusisha 'umma" cha kufanya atafute mambo binafsi tu kama biashara
Still Bashite lazima aingie lupango siyo chini ya miaka saba kwa kutumia cheti cha rafiki yake, rafiki kwa sababu original Makonda hakuripoti polisi kama aliibiwa au kapotelewa na cheti cha kidato cha nne unless mfumo wa serikali haupo sawa, yaani TAKUKURU, Police- DPP na vetting committee haifanyi kazi kwa weledi! hapa kazi tu!!!!
Unganisha hapo mwenye ikulu alimsifia sana huyo waziri kijana mbele ya wananchi akimtaja kuwa ni jembe lake linalofanya kazi nila mfano. Tangua ameingia Ikulu huyu mkuu sana hajawahi kumsifia waziri yyt kwa kiwango hicho. Hvy naunga mkono hoja mkuuMkuu iparamasa nimekusoma sawia na napatana kiasi kikubwa na mang'amuzi yako.
Nimefuatilia kwa makini mwenendo wa mambo yanavyomwendea huyo dogo (napenda kumwita Dogo Misifa). Hivi majuzi Waziri anayehusika na masuala ya wasanii ametokeza mfululizo ktk media akisema kwa ustadi mkubwa, kwa ufasaha na kwa kujiamini kuhusiana na mwenendo vita ya madawa ya kulevya ilivyochezewa ngoma na dogo, na waziri huyu akatoa maoni yake kwa ufasaha na hekima ambayo huwa sipendi kuamini kuwa anayo.
Huwa sijawahi kumsifia kwa lolote huyu waziri kijana kutokana na historia yake kama mpiga debe wa kundi tawala (na naomba radhi, huenda nina chuki binafsi na huyu bwana). Lakini hoja aliyoitoa huyu waziri kijana kuhusiana na dogo alivyo kurupuka na suala la vita ya madawa ya kulevya bila sheria, busara na kulifanya kisiasa, ilinifanya nifikiri kuwa yumkini alikuwa anatoa dokezo ya kinachoendelea nyuma ya pazia kuhusiana na hatima ya dogo.
Ikumbukwe kuwa ktk awamu ya pili ya utawala uliopita wakati huyu waziri kijana akiwa mpiga debe (vuvuzela) wa watawala aliwahi kutoka katika medi na kusema kwa uhakika kuwa 'kuna mawaziri wazembe ktk serikali na lazima wawajibishwe'. Muda si mrefu kweli mzee wa kaya (wakati huo) akawamwaga kundi la mawaziri.
Nikiwa bado nasikilizia maoni ya huyu waziri kijana ghafla dogo katokezea kanisani na akachukua significant coverage in a very inappropriate forum akilialia tu bila hoja yenye mashiko mintarafu ktk mazingira ya ibada. Sasa nikiunganisha mbili na mbili naona yumkini mstakabali si shwari kwa Dogo Misifa.
Nawaza kwa sauti tu.
Wakuu wa wilaya wana utaratibu wa kukaimu nafasi ya ukuu wa mkoa kama mkuu wa mkoa ametoka kidogo au yuko na tatizo.sasa hapo sijaelewa... yule kiumbe ameenda kanisani halafu huku akateuliwa huyu jamaa kushika nafasi au?