Kwa aliyewahi kusali kwa Mchungaji Irene Uwoya "Friends of God" Ministry ushauri Tafadhali

Nataka nifanye ziara ya kutembelea makanisa ya wasanii wote, nitaanza kwa masanja, madame christina, madame flora, mc pilipili, irene uwoya nione laive wanasifu na kuabudu vipi, wanafundishaje neno la Mungu na waumini wao wamevaaje? Tunaweza kuwahukumu mapema ni wabovu kumbe ni vyombo safi vya Mungu. Mungu ameinua mawe yamsifu kama wateule wake hawafanyi hivyo
Karibu sana "Friends of God Ministry "
 
Habari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu.

Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na habari za uongo nyingi na sisi kama wafuasi tumekua tukitanga tanga kuhama makanisa kutafuta manabii ambao wengi ni waongo. Naomba kwa ambaye ameshawahi kusali Friends of God ministry kwa mchungaji Irene Uwoya aje kutupa ushuhuda hapa ili tuweze kuwaokoa watu wa Mungu. Mungu awabariki sana.
View attachment 2993264
Utakuwa ni mfuasi wa huyo Kwa matendo na tabia
 
Hizi dini wanaziharibu sana
Anyway nimependa urembo wake wa mguuni
 
Kufungua kanisa Uwoya sio kitu kibaya labda ni kweli Mungu amemuita
Lakini inabidi akubali kubadili matendo kuanzia maneno mpaka mavazi

Mchungaji ana vikuku mguuni waumini wataelewa neno wakati akili yote itakua inamuwaza

Amevaa koti hilo bra ya ndani inaonekana Seriously? Mimi kama kondoo nitakua nawaza nanyonya kifua cha mchungaji

Abadilike..!
ephen😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom