Yahya Al Sinwar
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,403
- 22,864
Habari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu.
Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na habari za uongo nyingi na sisi kama wafuasi tumekua tukitanga tanga kuhama makanisa kutafuta manabii ambao wengi ni waongo. Naomba kwa ambaye ameshawahi kusali Friends of God ministry kwa mchungaji Irene Uwoya aje kutupa ushuhuda hapa ili tuweze kuwaokoa watu wa Mungu. Mungu awabariki sana.