Yesss Mzee
Member
- Nov 13, 2019
- 8
- 2
Naomba msaada dada nahitaj hii safar unaonekana mzoefuUnatarajia kusafir lin mkuu
Naomba msaada dada nahitaj hii safar unaonekana mzoefuUnatarajia kusafir lin mkuu
BEIT BRIDGE..SIO BRIGHT BRIDGE.safari ya ndege masaa manne kwa basi unapita Zambia,Zimbabwe unavuka bright bridge unaingia south afrika makadirio ya safari ni siku nne kwa bei ya buss itagharimu kama laki tatu
kuhusu visa nchi izo zoote mtz anaruhusiwa kuish free siku tisini
Haya nakusikiliza mkuuNaomba msaada dada nahitaj hii safar unaonekana mzoefu