Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,306
Utukome sio kila mwanamke ana akili km Snura mushi ama Shishi be be.... Usituunge kwenye hili Kundi la huyu kahabaWimbo wa Chura.... Na akili za wanawake
Ile video ya wimbo wa Chura unaonyesha ni Jinsi gani wanawake walivyo na akili ndogo.
Wanawake wanakubali kudhalilishwa kisha wanasema wanataka haki Sawa........ Haki sawa gani bila ya kujidhamini???
Wanawake watapatiwa haki sawa baada ya kujielewa na kujidhamini....