ibra87
R I P
- Jul 22, 2015
- 5,614
- 5,347
Hakuna aliyefanikiwa katika hilo. Wengi wamejikuta wakiwa wazinzi na walevi chanzo kikiwa ni kutafuta njia ya kujitoa kwenye maumivuIla ukitaka kumtoa mtu moyoni inawezekana. Japo itachukua muda ila mwisho wa siku utafanikiwa